babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Tanzania iko na economy?Eti economy!??🤣🤣🤣🤣
Kenya nayo ina economy gani?!..
😂😂😂
Huna hoja kama vipi kausha tu..!!Don't give me a tweet. Give me a list of top ten biggest libraries in Africa. About modernity, why is your source (the tweet) not even mentioning anything about it being the most modern? Ama hii modernity umetoa tu kichwani?
Vitu gn hvyo mkuu BRT , SGR au Stigler's gorge be specific au GDP![]()
We unadhani ina nini? Ndio hiyo economy inakuwasha kuwa humuTanzania iko na economy?
Hawawezi karibishwa maana hatuna kitu cha kujifunza kutoka kwao 😂😂😂Nakumbuka hadi Kikwete alishawahi kuhutubia bunge lao ilikuwa mwaka 2013 nadhani, hivi wakenya wameshawahi kukaribishwa huku kufanya mambo kama hayo?
Yaani huku hatuna haja ya lectures kama wao.Hawawezi karibishwa maana hatuna kitu cha kujifunza kutoka kwao 😂😂😂
Unaongea kama nani 😂😂😂We don't need brt in Nairobi.........
Hawana cha kuongea hawa jamaa 😂😂😂Yaani huku hatuna haja ya lectures kama wao.
Hivi huyu mtu ni mzima wa akili? Kipindi kile walivyoban matatu tulishuhudia kwenye tv wakenya wanatembea kwenda kazini, yaani ilikuwa ni vituko. Kuingia cbd bila matatu ilishindikana wakaona tu watoe hiyo sheria walioiweka halafu kidudu mtu anakuja hapa kutuambia eti nairobi haiihitaji brt loooooolUnaongea kama nani 😂😂😂
Shiiiiiiit sasa hiyo ni economy au upuuzi!100 billion dollar economy
Nasubiri anijibu anaongea kama nani nimpe dawa kali 😂😂😂Hivi huyu mtu ni mzima wa akili? Kipindi kile walivyoban matatu tulishuhudia kwenye tv wakenya wanatembea kwenda kazini, yaani ilikuwa ni vituko. Kuingia cbd bila matatu ilishindikana wakaona tu watoe hiyo sheria walioiweka halafu kidudu mtu anakuja hapa kutuambia eti nairobi haiihitaji brt looooool
Kuargue na mtu kama huyo ni bure!!!!!Shiiiiiiit sasa hiyo ni economy au upuuzi!
Acha utoto,watu wazima mna-behave kama kindergarten kids
aliyekuwa anatamba na economy ya tanzania au ya kenya??.uwe unatumia akili sometimes ni mbaya kudandia treni kwa mbele,hata hiyo Nigeria mnayoita biggest economy ni upumbavu tu kwa wapumbavu kama nyie ..GDP ya usd 70 bill sijui ngapi,i don't know eti nayo ni uchumi ya nchi ya watu mil 40,halafu unakuja hapa uchumi,uchumi uchumi,economy shiiiiiiit.Tanzania iko na economy?
How comes,the days you lipsticked your roads!!💄💄💄??We don't need brt in Nairobi.........
Hii ya kumilikiwa na waarabu na wahindi nayo ni economy?We unadhani ina nini? Ndio hiyo economy inakuwasha kuwa humu
Tanzania population - close to 60 million peoplealiyekuwa anatamba na economy ya tanzania au ya kenya??.uwe unatumia akili sometimes ni mbaya kudandia treni kwa mbele,hata hiyo Nigeria mnayoita biggest economy ni upumbavu tu kwa wapumbavu kama nyie ..GDP ya usd 70 bill sijui ngapi,i don't know eti nayo ni uchumi ya nchi ya watu mil 40,halafu unakuja hapa uchumi,uchumi uchumi,economy shiiiiiiit.
Mtanzania ni mtu unaweza mfundisha kitu aelewe?Hawawezi karibishwa maana hatuna kitu cha kujifunza kutoka kwao 😂😂😂