Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masaki Pengine ulinganishe na Buru Buru deep in Eastlands part of Nairobi
Kasehem kadgo tu hako ka masaki unaeza hisi upo ulaya, inshort masaki ni Miami ya east, west and central Africa, bata zote attractivenes hapo ndo kwao, hako ni kapcha kadgo tu lakn nsingesema hapo ni masaki wakenya wangeshaanza sema ooh picha ya miami unasema ni Dar my friends hapo ni dar kamtaa kamoja hiv ka masaki. Kenya huwez pata sehem kama hyo zaidi ya empty apartments (ghost estates) wanazotuleteaga humu
tapatalk_1573398643101.jpeg
 
Kasehem kadgo tu hako ka masaki unaeza hisi upo ulaya, inshort masaki ni Miami ya east, west and central Africa, bata zote attractivenes hapo ndo kwao, hako ni kapcha kadgo tu lakn nsingesema hapo ni masaki wakenya wangeshaanza sema ooh picha ya miami unasema ni Dar my friends hapo ni dar kamtaa kamoja hiv ka masaki. Kenya huwez pata sehem kama hyo zaidi ya empty apartments (ghost estates) wanazotuleteaga humuView attachment 1272261
The best estates in East and Central Africa are found in Nairobi. Muthaiga, Nairobi's finest, has even been compared to Beverly Hills. Ukikuja huku, you'll forget for a moment that you are in Africa. Tembea ndugu uone dunia.

Kijana Tanzania ndo Nchi ya bata hapa east and central Africa, natamani siku uje Dar, warwanda waganda wazambia wamalawi na wakenya wenzio wakija huku huwa wanahisi wapo ulaya. Ndo mana most of tou kenyans mnaopenda kula bata coz hamuwez kwenda dubai ama Toronto mnakuja Tz. Inshort Tz ndo nchi pekee ya bata hapa east Africa. Best destinations ni Dar, Zanzibar kwa bata za maana, and Mwanza for white beaches and hotels kula bata za kutosha kwa waganda na wakisumu wenzio pamoja na Arusha/kilimanjaro for safari hasa kwa couples ndo mana vlogs kbao za wakenya ni Tz, hasa Dar na Zanzibar. huu ni ukweli ata wew waujua..

wadau mmekula 2 nil kama kawa...lol.
I like how we bully these good for nothing southern neighbours of ours....economically,physically,financially,infrastructurally,name it.
 
Kijana natamani siku uje Dar, warwanda waganda wazambia wamalawi na wakenya wenzio wakija huku huwa wanahisi wapo ulaya. Ndo mana most of tou kenyans mnaopenda kula bata coz hamuwez kwenda dubai ama Toronto mnakuja Tz. Inshort Tz ndo nchi pekee ya bata hapa east Africa. Best destinations ni Dar, Zanzibar kwa bata za maana, and Mwanza for white beaches and hotels kula bata za kutosha kwa waganda na wakisumu wenzio pamoja na Arusha/kilimanjaro for safari hasa kwa couples ndo mana vlogs kbao za wakenya ni Tz Dar na Zanzibar

lol...daresalaam is just mombasa...spare us the nonsensical gibberish
 
Kijana Tanzania ndo Nchi ya bata hapa east and central Africa, natamani siku uje Dar, warwanda waganda wazambia wamalawi na wakenya wenzio wakija huku huwa wanahisi wapo ulaya. Ndo mana most of tou kenyans mnaopenda kula bata coz hamuwez kwenda dubai ama Toronto mnakuja Tz. Inshort Tz ndo nchi pekee ya bata hapa east Africa. Best destinations ni Dar, Zanzibar kwa bata za maana, and Mwanza for white beaches and hotels kula bata za kutosha kwa waganda na wakisumu wenzio pamoja na Arusha/kilimanjaro for safari hasa kwa couples ndo mana vlogs kbao za wakenya ni Tz, hasa Dar na Zanzibar. huu ni ukweli ata wew waujua..
Uzuri w Watanzania ni kwamba kila kitu mnatoa kichwani. You can't back up your arguments with statistical data. Hata mimi hapa naweza kuja hapa niseme kwamba nairobi au Mombasa are the best places to holiday in the entire world just because am being patriotic to the flag. Unless I back up my claims with evidence from reliable sources, it remains gibberish as one person said above
 
Back
Top Bottom