Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu wadanganyika wengi hawajui nikua wakaazi wengi Wa Nairobi wanaishi kwenye apartments,do you know an eight story apartment can handle more than two hundred people here in Nairobi?.... That's why tunawambia Dar ni one big slum village.Yani 40% of Dar ni slum...55% ni vegetation/forest na 5% ni cbd,masaki,oustbay....etc

Dar has a population of 6M and No one lives in Slums, Meanwhile Naorobi alone has 3.5M Residents of which 2.5 Live in Slums,
Nairobi has
1.Kibera Slum
2.Mathare Slum
3.Huruma Slum
4.Korogocho slum
5.Githurai Slum
6.Huruma Slum
7.
8.
9.
Mind you All towns in Kenya has Slums,
Kisumu has slums, Eldoret has Slums, Nakuru had Slums,
Halafu unataka kufananisha Na Tz with highest inclusive Economy in Africa.
IMG_1292.JPG
 
metropolitan City ni eneo ambalo lipo widely developed yaani hakuna tofauti kubwa Sana kutoka cbd na maeneo ya pembezoni mwa mji

Check hii ni zaidi ya 20 kilometres away from Dar cbd, the way hili eneo lipo more developed hata Nairobi 25 kilometres away from cbd hapapo developed kama hapa
Is this place in Dar?....then it's the same as Nakuru which has Naivasha, Gilgil and all are well developed places, so i don't see any point here truly speaking....the map below is for Dar which show the only built-up place is centralized let say like 300km.This means that there's no metro in Dar...the boundaries are covered by forest than u said it's a developed place
tapatalk_1574392295864.jpeg
 
Kitu wadanganyika wengi hawajui nikua wakaazi wengi Wa Nairobi wanaishi kwenye apartments,do you know an eight story apartment can handle more than two hundred people here in Nairobi?.... That's why tunawambia Dar ni one big slum village.Yani 40% of Dar ni slum...55% ni vegetation/forest na 5% ni cbd,masaki,oustbay....etc
Only a mad man will think like that, dar haina slum mzee baba. Na only 10 % ya dar ndo wanaishi watu duni if not 5% actually the remaing part ni watu na mijumba yao
 
Only a mad man will think like that, dar haina slum mzee baba. Na only 10 % ya dar ndo wanaishi watu duni if not 5% actually the remaing part ni watu na mijumba yao
It seems like you guyz are proud of leaving in those shanties,yani sijawahisikia mtu toka bongolala akiyakemeya hayo mabanda....alike us Kenyans kila kitu kikowazi kabisa....places like Kibera will be a past tens a decade from now.jirani ona mambo yanavyo sukwa
tapatalk_1574179295206.jpeg
tapatalk_1574179288261.jpeg
 
Bei ya unga iko juu bei ya umeme iko juu kila kitu kigumu kwann asijiuwe

Back
Top Bottom