Ila uyu msigwa vilugha lugha vyake vinachekeshaTafuta soko la kisasa kama hili kenya nzima mkipata munitagdodoma baby

ila upande wa pili vinakela

Tafuta soko la kisasa kama hili kenya nzima mkipata munitagdodoma baby

Kuna mtu nilimwambia apa kuwa Tanzania haipaswi kuitwa LDC ni Google tu na makaratasi yao wameamua kuandika hvyo ili kujifurahisha nchi yenye BRT SGR barabara za juu barabara za chini mpk njia nane n.k haiwez kuwa LDC ni utoto kuamini hivyo
Wakisema hio wape hiiππππHawatakosa cha kuongea watakwambia usituletee renders apa![]()
hujaitwa hapa kajaze maji kondomu ubebe.Hii batle sasa naona imeanza kufifia tumetoka kwenye mambo makubwa sasa tunarudi kwenye vitu vidogo vidogo hadi nyumba za polisi na umbea umekua mwingi.Kama vya kushindana vimeisha tufunge mjadala tufanye mambo mengine.Kuleta umbea wa akina sijui msigwa na wengine ni kushindwa vita.Bora hata tushindane mbinu bora za kilimo.Hahaha
kwani umeteseka??hii ni taarifa tu.usije lazwa kwa mfadhaiko.According to a tweet by a Tanzanian newspaper![]()
![]()
. Kweli mnasumbuka
hujaitwa hapa kajaze maji kondomu ubebe.

Umekasirika tayariπππ nilijua lazma unune tuAccording to a tweet by a Tanzanian newspaper π π π. Kweli mnasumbuka
So ushamaliza kulia au badoππππHii batle sasa naona imeanza kufifia tumetoka kwenye mambo makubwa sasa tunarudi kwenye vitu vidogo vidogo hadi nyumba za polisi na umbea umekua mwingi.Kama vya kushindana vimeisha tufunge mjadala tufanye mambo mengine.Kuleta umbea wa akina sijui msigwa na wengine ni kushindwa vita.Bora hata tushindane mbinu bora za kilimo.Hahaha