Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio hizo nyumba za kuishi tunaacha kupost huko pembeni ya jiji kuna nyumba sio maghorofa.ambapo kwa nairobi kuna mbuga za wanyama see the differ.

Dar is slum is smaller than Nairobi.
And I'm only counting the built up area, not the national park.
 
I have highlighted for you in yellow, ili uweze kuelewa.

The red line is Dar boundaries.
The yellow line is the built up area.

View attachment 1268309
Nimezoom haya tuoneshe ni wapi hakuna majengo😆😆😆😆

82995234-1B42-477B-A41A-1D78FEEE661D.png

Haya ona hii 696km sq😂😂😂👇👇👇
FDA2C513-FC5C-4A0A-8429-34CE9BA96E3B.jpeg
FDA2C513-FC5C-4A0A-8429-34CE9BA96E3B.jpeg
 
blaza huwezi ukajengea hoja NYC kwenye nairobi.acha nirobi ijitetee.

kwani nairobi ina wakazi wangapi kulinganisha na newyork city!??maana ni kama kusema tuzilinganishe sasa
Hta ukiruka ruka vipi..ukwel ni kwamba maendeleo ya mji hayapimwi na ukubwa wa eneo

Kwanza naona imekuuma sana kukupa kitu konki
 
Hta ukiruka ruka vipi..ukwel ni kwamba maendeleo ya mji hayapimwi na ukubwa wa eneo

Kwanza naona imekuuma sana kukupa kitu konki
hicho kitu konk sijui ni kipi!!naona unajifariji tu.

unadhani watu million 7 wamejaza kwenye flat zisizo na maji kama hapo kwenu,hii sio league yenu tena.
 
hicho kitu konk sijui ni kipi!!naona unajifariji tu.

unadhani watu million 7 wamejaza kwenye flat zisizo na maji kama hapo kwenu,hii sio league yenu tena.
Umesahau km 70 dar ni uswazi
Au uswazi nako kule ndo kujengeka
 
Nimezoom haya tuoneshe ni wapi hakuna majengo

View attachment 1268321

Haya ona hii 696km sq
View attachment 1268323View attachment 1268323
Duh kwahyo ukubwa wa nairobi nzima kuchanganya na maapori ni sawa na kaeneo kadgo tu kaliikojengeka hapa dar,, which means kaeneo kalikojengeka nairobi ni robo ya eneo lililojengeka hapa dar, which also means Nairobi ilojeengeka yote ni ukubwa wa kutoka tegeta kwa waashua adi apa mikocheni? So kumbe haina haja ya kulinganisha dar na nairobi inabid wwachukue kisumu plus mombasa plus nairobi ndo wamatch up na dar city.. LOL Poor kenyans
 
We mwenyewe ume type kw uoga kwel
 
Back
Top Bottom