Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Do that's a flat in Tanzanian standards?? Hivyo ndo mnafundishwa kwenye shule zenu? 😱 😱 😱kwenu kila kitu kinawezekana yaani hata flats kwenye slums
View attachment 1268618
Do that's a flat in Tanzanian standards?? Hivyo ndo mnafundishwa kwenye shule zenu? 😱 😱 😱kwenu kila kitu kinawezekana yaani hata flats kwenye slums
View attachment 1268618
Maisha yenu ni magumu sana kiukweli, inasikitisha. Hayo mabati hivi wakati wa joto huwa mnaishije?Do that's a flat in Tanzanian standards?? Hivyo ndo mnafundishwa kwenye shule zenu? 😱 😱 😱
Naona driving mashine umeshaitoa.👍Carrefour Opening another Branch at Aura Mall
And that's my point. Maendeleo au ubora wa jiji au mji au hata nchi haupimwi na ukubwa wake. What you are doing (or have done) with the little or big space you have is the most important thing. So next time don't go quoting size here like it matters anyway!!sio nairobi sasa.sijui unaelewa!!!
yaani ukitaja protoria let say,hiyo pretoria umeitaja na dar.hatuna pingamizi juu ya hii.
Kijana, if it's about the mall, hiyo sector hata wewe hapo unajua vizuri sana mnasoma number yetu. If it's about the BMW, I would just like to remind you that their biggest sales office in East Africa is in Nairobi![]()
![]()
![]()
Pole kaka Nairobi is a place of cool waters. Huku joto ni kama ndoto. Maybe you need to revisit your history books ujue chimbuko la jina "Nairobi" na maana yake. About maisha magumu, I can prove which people between Kenyans and Tanzanians are living a better lifeMaisha yenu ni magumu sana kiukweli, inasikitisha. Hayo mabati hivi wakati wa joto huwa mnaishije?
That's my personal life. I am not under any obligation to talk about my private life in a forum. It adds no value to you.I only see proboxes in Nairobi roads,
Wewe unatumia gari gani?
tutaendelea since the battle is dar vs nairobi.And that's my point. Maendeleo au ubora wa jiji au mji au hata nchi haupimwi na ukubwa wake. What you are doing (or have done) with the little or big space you have is the most important thing. So next time don't go quoting size here like it matters anyway!!
My dear, let me put you in a geography lesson. You live in a tropical savanna. Nairobi is of course cooler than Dar es salaam but it doesn't mean that the city is not hot sometimes. Tena wakati huu ni "summer" in Nairobi, it rains and yes, kuna heat. Mida ya June to August ndio kuna baridi. Kwa hiyo rudi darasani ukasome kabla hujabishana na mimi sawa? Halafu kuhusu quality of life, huwezi kuprove chochote kwangu. Kwa jitu ambalo halijawahi hata kufika Tanzania na mimi nimeshakaa sehemu zote mbili, TZ na KE, huwezi kunibishia chochote.Pole kaka Nairobi is a place of cool waters. Huku joto ni kama ndoto. Maybe you need to revisit your history books ujue chimbuko la jina "Nairobi" na maana yake. About maisha magumu, I can prove which people between Kenyans and Tanzanians are living a better life
Mimi sina shida kuendelea ila msiwe watu wa kutoa hoja na mihemko pasi kuwa na uelewa just because this is a battle.tutaendelea since the battle is dar vs nairobi.
ikija dar vs NY hahaa hapa area size haiatafaa.
Then how do you want me to engage you if you already "know" me that much and even have a formed opinion about me? Why are you being in the defensive? Back to Nairobi, yes, it sometimes get hot (it even gets hot in Europe which is one of the coldest continents) so there's no exception about that. I would just like to remind you that I told you to revisit your history books (not geography books like you've done here). You must be very poor in following simple instructions. Don't remind me of something that I already know. I live in Nairobi and I know that it sometimes gets a little hotter. That is not to say that nairobi is hot.My dear, let me put you in a geography lesson. You live in a tropical savanna. Nairobi is of course cooler than Dar es salaam but it doesn't mean that the city is not hot sometimes. Tena wakati huu ni "summer" in Nairobi, rains and yes, kuna heat. Mida ya June to August ndio kuna baridi. Kwa hiyo rudi darasani ukasome kabla hujabishana na mimi sawa? Halafu kuhusu quality of life, huwezi kuprove chochote kwangu. Kwa jitu ambalo halijawahi hata kufika Tanzania na mimi nimeshakaa sehemu zote mbili. TZ na KE, huwezi kunibishia chochote.
metropolitan City ni eneo ambalo lipo widely developed yaani hakuna tofauti kubwa Sana kutoka cbd na maeneo ya pembezoni mwa mji
Check hii ni zaidi ya 20 kilometres away from Dar cbd, the way hili eneo lipo more developed hata Nairobi 25 kilometres away from cbd hapapo developed kama hapa
Eti it gets a little hotter, can I please remind you that I have lived in Washington state na hii cold weather ya nairobi kule ni kama summer tu. If you have been to Tanzania then say it ili tuone credibility ya information unayotupa hapa. Kawadanganye bweha wenzako sio mimiThen how do you want me to engage you if you already "know" me that much and even have a formed opinion about me? Why are you being in the defensive? Back to Nairobi, yes, it sometimes get hot (it even gets hot in Europe which is one of the coldest continents) so there's no exception about that. I would just like to remind you that I told you to revisit your history books (not geography books like you've done here). You must be very poor in following simple instructions. Don't remind of something that I already know. I live in Nairobi and I know that it sometimes get a little hotter. That is not to say that nairobi is hot.
Wacha kulazimisha vitu weweEti it gets a little hotter, can I please remind you that I have lived in Washington state na hii cold weather ya nairobi kule ni kama summer tu. If you have been to Tanzania then say it ili tuone credibility ya information unayotupa hapa. Kawadanganye bweha wenzako sio mimi
Uswazi dar zina cover 70% ya jiji..hatari sanani kama unataka kusema haipo
Usipoteze mada ww cc tunaongelea kivyote kiukubwa na hata kimaendeleo dar iko far away from NairobaAnd that's my point. Maendeleo au ubora wa jiji au mji au hata nchi haupimwi na ukubwa wake. What you are doing (or have done) with the little or big space you have is the most important thing. So next time don't go quoting size here like it matters anyway!!
Sawa, Dar imeshinda Nairobi kimaendeleo. Yaishe basi. Happy now??Usipoteze mada ww cc tunaongelea kivyote kiukubwa na hata kimaendeleo dar iko far away from Nairoba
Nairobi is slum townHalafu unakuta slums in nairobi covers only 5%![]()
Duh kwahyo ukubwa wa nairobi nzima kuchanganya na maapori ni sawa na kaeneo kadgo tu kaliikojengeka hapa dar,, which means kaeneo kalikojengeka nairobi ni robo ya eneo lililojengeka hapa dar, which also means Nairobi ilojeengeka yote ni ukubwa wa kutoka tegeta kwa waashua adi apa mikocheni? So kumbe haina haja ya kulinganisha dar na nairobi inabid wwachukue kisumu plus mombasa plus nairobi ndo wamatch up na dar city.. LOL Poor kenyans