Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipi ambacho hukukielewa hapo...
Heheee!!siku hizi twitter ndio source[emoji23][emoji23]

We wachezea media zetu..kitu kingelipeprushwa hewani na mpka watu kohojiwa...wafikiria hku ni kw magu watu wasilipwe halafu media zisifanye yake
Kwa hiyo twitter sio source? vijana kibao hawajalipwa na huo ndio ukweli punguza ubishi au nenda kabishane nao pale twitter wakupe za uso,
Alafu unasema media zenu zinafanya kazi, embu tuambie ile video ya citizen Inayohusu KQ yenu iliopakiwa jana youtube imeenda wapi 😂😂😂
 
Stendi ya mawasiliano
ED25E84F-44E0-467A-A4E8-E98549F8CAC0.png
78425FE9-86A8-4F66-93CB-983ECB594BDE.png
 
Kwa hiyo twitter sio source? vijana kibao hawajalipwa na huo ndio ukweli punguza ubishi au nenda kabishane nao pale twitter wakupe za uso,
Alafu unasema media zenu zinafanya kazi, embu tuambie ile video ya citizen Inayohusu KQ yenu iliopakiwa jana youtube imeenda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Unapagawa youtube na walati media zimeshatangaza tayari[emoji23][emoji23][emoji23]

Hta wafute hko youtube wakenya tumeshaupata ujumbe na tumeshajua kinachoendelea hko kq...

Twitter ndio official source yenu siku hz[emoji23][emoji23]umemuona nani aliyeweka stakabadhi km ilkuwa kaajiriwa na knbs...
Kenya hutoielewa leo wala kesho, tuachieni wenyewe jamani..heri ukaziangalia hvo hvo hzo story za twitter...

Hv nikuulize, cctv footage za kule bungeni wakati wa lissu alipopigwa risasi[emoji23][emoji23]
 
Yaani hata uandike page za kutosha huwezi andika kitu cha maana hata,
Nimekuambia nenda twitter kabishane nao kule,
Nikakuuliza kwanini citizen wamefuta hiyo video, Hujajibu zaidi ya bla bla kibao.
 
Yaani hata uandike page za kutosha huwezi andika kitu cha maana hata,
Nimekuambia nenda twitter kabishane nao kule,
Nikakuuliza kwanini citizen wamefuta hiyo video, Hujajibu zaidi ya bla bla kibao.
Wafute wasifute..ujumbe umeshafika...nyinyi hta picha zimeshawafikia kuhusu tukio la lissu?

HUIJUI KENYA, NA UTAUMIA SANA KW KUJIFANYA KUIJUA KENYA
 
Wafute wasifute..ujumbe umeshafika...nyinyi hta picha zimeshawafikia kuhusu tukio la lissu?

HUIJUI KENYA, NA UTAUMIA SANA KW KUJIFANYA KUIJUA KENYA
Kenya ipi hiyo nisiyojua 😂😂😂
Hiyo ya corruption kila kona,
Hiyo ya tribalism,
Hiyo ya police brutality,
Hiyo ya slums kila county,
Hiyo ya fake economy,
Hiyo ya high rate of unemployment,
Hiyo inayopewa food donations karne hii,
Hiyo yenye madeni kila kona
Au ni hiyo ambayo rais wake alisema "i don't understand why kenya is broke".
 
Kenya ipi hiyo nisiyojua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya corruption kila kona,
Hiyo ya tribalism,
Hiyo ya police brutality,
Hiyo ya slums kila county,
Hiyo ya fake economy,
Hiyo ya high rate of unemployment,
Hiyo inayopewa food donations karne hii,
Hiyo yenye madeni kila kona
Au ni hiyo ambayo rais wake alisema "i don't understand why kenya is broke".
At the root of jealousy is fear and sadness[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuletee kijana wa census ambae hajalipwa...
My cousin amejikwapulia around ksh 80-90k after tax, alikua ICT supervisor..
Endeleeni na mipasho hko bongolala
superviser analipwa less than tsh 200k. sasa wachini sijui itakuaje. mhhh hapo data entry walikua wanalipwa kwa 40k
 
Back
Top Bottom