ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yaonesha ww huna taarifa kamili na hutakua nayo😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇Hamna kitu hapa, huezi compare haka kakitu na Wild Waters wewe, tembea. Wanishangaza sana kwa kusema biggest water park, nimengja kuon akitu mega kama za Dubai lakini wanionyesha kitu ambacho kina tunnel na slide mbili. Jameni watuona vipofu ama?
View attachment 1261726View attachment 1261727