Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Same place without filter😄😄😄
66BD2732-1E25-4E6B-BAAD-C3C9F40885F0.jpeg
 
Wakipokea hizo Airbus 2 na hiyo Bombadier nyingine by 2020 then wafanye order ya other Dreamliner moja, ile capacity ya 14 fleet waliyotaka ATCL itakuwa imefika wapige kazi wanunue zao sasa.
Mimi Ningependa waongeze airbus mbili nyingine, hizi regional routes ndio zenye pesa, sina imani sana na International routes sababu competition ni kubwa na wakongwe kwenye game wanapata hasara kila uchwao.

Wakomae na domestic markets pamoja na regional ambazo ndio watanzania wengi wapo, saivi ATCL imekamata zaidi ya 80% ya local aviation shares.
 
Nakubaliana kabisa na wewe lakini Dreamliner ya tatu sio mbaya, atleast wawe n a route ya Asia, Europe na America, tunahitaji atleast kuleta watalii wa maeneo hayo direct kwenye vivutio vyetu.

My point was that kwa hizo fleet walizonazo wapimwe kama watu ambao sasa wako full efficient kwenye business, wakihitaji ndege zingine wajinunulie wenyewe kutoka kwenye faida yao.
 
2011 photos. Dumb bitch!
A bitch is he who believes all those buildings were actually built after 2011. The bitch even forgets TPA was built in 2016, just three year ago! A case of the pot calling the kettle black!
 
A bitch is he who believes all those buildings were actually built after 2011. A case of the pot calling the kettle black!
I won't take "bitch" back, bitch That's Dar's historic city center! Many buildings were built in the 50s halafu unataka kulinganisha na hii shanty yenu? Pia umeleta picha za 2011, eight years ago? tf?
72E691D8-5854-4665-B887-4B546D8DD3BE - Copy.jpeg
 
Back
Top Bottom