komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Credo ya 20..
Akili zako wewe mgando sana..kwn hku ndiko hakuna mama nitilie
Akili zako wewe mgando sana..kwn hku ndiko hakuna mama nitilie
Airtime kiasi gani?
Tsh 2300 inaweza fanya mambo mengi,
2300 naweza nunua bundles kibao
2300 naweza kula kwa mama ntilie nikala nikashiba na chenchi ikabaki,
2300 yaani ni mambo kibao.