Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Hata kitu unacho-post hukielewi,unawadhalilisha nyani wenzioBillion ya kenya ulaya unapeta tena vizuri sana...sijui kw pesa zenu za madafu![]()
Hata kitu unacho-post hukielewi,unawadhalilisha nyani wenzioBillion ya kenya ulaya unapeta tena vizuri sana...sijui kw pesa zenu za madafu![]()



Hakuna billionaire kenya kuna upuuzi,billionaire hata USD 1 billion hana, sasa huyo ni billionaire uchwara
Hata kitu unacho-post hukielewi,unawadhalilisha nyani wenzio
Najua wakenya weeengi ni vilaza,lakini huyu komora ni too much,amepita hadi kwenye ukilaza
We Pimbi kuna bilionea Kwa kipimo cha usa $ kipimo cha £ kipimo cha Ksh kipimo cha tsh no Kwa hiyo unapo zungumzia bilionea Kwa kushindanisha nchi mbalimbali ni lazima utumie value moja ya hela kama USA dollars
Uwezo wenu wa kubuni miradi kwa kupanga " priorities " ni mdogo sana. Ona sasa hivi mnaanza kujenga barabara ya juu toka Airport kwa pesa ambayo ingetosha kujenga " BRT lanes" zote za Nairobi. Kwanini msitumie hiyo pesa kujenga " special lanes za BRT mji mzima hadi huko JKIA kama tatizo ni foleni?
Achana na huyo ng'ombeNixie gave you an example of London with vegetative cover and that was the simple essential part for you to understand, so simple and direct comment,is that too hard for you?...do you have to go to school to understand?..what the **** is wrong with you?,why are you acting a fool?..some things are so basic that even your late retarded grandma would have understood..please grow up and debate like you know even if you dont!!..dont expose your idiosyncrasy.
How many do you make locally for yourselves?and 99% of all the Cars in Your roads are used imported from Japan.
What a wastage, Pale Mombasa Road kuna assembly plant ya Hino with vehicles rotting in rusts.
Ndio 2naoKwn tanzania mnao?
Ndio 2nao
Nixie gave you an example of London with vegetative cover and that was the simple essential part for you to understand, so simple and direct comment,is that too hard for you?...do you have to go to school to understand?..what the **** is wrong with you?,why are you acting a fool?..some things are so basic that even your late retarded grandma would have understood..please grow up and debate like you know even if you dont!!..dont expose your idiosyncrasy.
Tanzania pia hakuna billionaire..afikishe kwanza billion ya kuwait dinar ndio nimkubali...(the strongest currency in the world)
Africa billionaire ni dangote bana...manake kila utakapo badilisha mali yake katika currency yyte hapa duniani bado anabaki kw billion
Within no time utaziona kwanza safi kuliko hyo yenuKama ni kitu kidogo sasa mbona hizo BRT hazipo huko 😂😂😂😂
Mnaletewa vitu ugly maana mpo addicted na vitu ugly 😂😂😂Within no time utaziona kwanza safi kuliko hyo yenu
Huwezi kupeta ulaya na makaratasi yako ya kenya au tz,lazima tuyabadili kwanza.ndipo ujue umebeba pesa au uchafu.Billion ya kenya ulaya unapeta tena vizuri sana...sijui kw pesa zenu za madafu![]()
Akihama ndio vizuri tunabaki na kumbukumbu yakeUmeamua kutumia picha ya Mwaswast...Jamaa utamfanya ahame JF
![]()
Miji ya pwani huwa ina fukwe kama sehemu za kupumzikia. Miji kama London/Nairobi haina vitu hivyo.Modern cities across the world are focusing on creating a balance between beautiful skylines and lush green spaces and that's what Nairobi is trying to achieve which also explains why Nairobi has more and bigger recreational parks than Dar. But because you are a bongolala, you can't see that. Wewe ulichoona ni pori 😂 😂. A city is not just about building tall skyscrapers alone.
Look at these image of London below. Maybe you'll understand what am trying to say