Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema tu ksh 1b ni $10m..unaogopa nn...
Narudia tena, billion moja ya kenya ukienda ulaya unapeta nayo...wacha kuruka ruka hapa na eti sijui kubadilisha pesa...kwn hata ukiibadilisha bado si zile pesa zitakua zimetokana na ile billion yako

We wachezea billion moja ya kenya..
Huwezi kupeta ulaya na makaratasi yako ya kenya au tz,lazima tuyabadili kwanza.ndipo ujue umebeba pesa au uchafu.

Hiyo bilioni ya kenya ukiirudisha katika $ ni 10,000k,na ya tz ukiipeleka katika $ ni 500k.sasa ili tusivuruge mambo nani ni nani.

Weka pesa zako reserve kwa $.then tutapimania hapo.
 
Forbes ni ya marekani...so lazima i rank watu kutumia dollar...
Heeh kwel nyie walevi aysee ushakataa sentensi mlizotoa apa kwmb kwenu kuna mabilionea by the way who are u ukatae stats za Forbes kwmb Tz kuna billionaire
 
Miji ya pwani huwa ina fukwe kama sehemu za kupumzikia. Miji kama London/Nairobi haina vitu hivyo.
That's shallow reasoning and way of looking at things. There are so many coastal cities that have lots of vegetative cover
 
That's shallow reasoning and way of looking at things. There are so many coastal cities that have lots of vegetative cover
Tatizo lako wewe umekulia bara (country, as we call it here) hivyo huwezi elewa.
 
Acha utoto read between the lines pyumb* wee
And what is "pyumb*"?...I apologize for this but i dont debate people on crack!!!..get yourself a therapist or a doctors prescriptions,however,downloading your emotions and exposing that you are a retard won't help your insanity.
 
Construction projects in this city are a game changer
dsa.PNG
hjjh.PNG
w.PNG
wf.PNG
 
Kenya mpo out of brt system flyover mlizo jenga na mnazoendelea kujenga amzingatii BRT SYSTEM IN NEAR FUTURE kinyume na Tanzania flyover zetu zote zinazingatia mfumo wa BRT ili kosa mnalolifanya ndiyo mlilifanya Kwa sgr yenu na mmeendelea kulifanya false 2 ya ujenzi ndiyo maana mlipo jalibu ku electrified sgr mkashindwa ujenzi wa madaraja yenu ya sgr hayawezi kuwekewa mfumo wa Umeme vinginevyo myabomoe na kujenga upya.LAKUCHEKESHA ZAIDI NI KUONA HATA BAADA YA KUGUNDUA HILO MNAJENGA FALSE 2 BILA KUZINGATIA MFUMO WA UMEME
,kweli nyinyi ni stupid monkey
Kuna sababu za kimsingi, mtasema nini tukiweka? ulidhani Kibaki na maarifa yake yote ya economics hakujua hivyo akijenga Thika road? wakati tuna capacity ya kutengeza buses locally?
 
Sema tu ksh 1b ni $10m..unaogopa nn...
Narudia tena, billion moja ya kenya ukienda ulaya unapeta nayo...wacha kuruka ruka hapa na eti sijui kubadilisha pesa...kwn hata ukiibadilisha bado si zile pesa zitakua zimetokana na ile billion yako

We wachezea billion moja ya kenya..
Usije sema ndio maana hamna tajiri bilionea,maana ndiko unaelekea na kichwa yako empty.
 
Heheee!!billion ya madafu ni upuuzi tu...
Kweli ni upuuzi kujisifu una bilioni kwenye currency ya madafu. Pesa gani 500 shs ipo kwenye coin. Nasikia wana mpango wa kutengeneza coin ya shs 50k. Ila nje ya mada kidogo nakuomba basi unisaidie hata milioni moja tu ya pesa za madafu maana jirani yako nimekwama hapa baada ya kutumbuliwa na uncle Magu.
 
Back
Top Bottom