mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Mtu mwenye pesa bilioni moja na kuendelea.Hehee...kwhyo billionaire maana yake ni nn?
Mtu mwenye pesa bilioni moja na kuendelea.Hehee...kwhyo billionaire maana yake ni nn?
Mtu mwenye pesa bilioni moja na kuendelea.
Hopefully Railway City will close that development gap between CBD and Upperhill
View attachment 1237046
The jewel that is One Place Africa building
View attachment 1237070
View attachment 1237073
sijui nikuambie nini
View attachment 1237109
Bill wa $ sio wa pesa ya maua.Afadhali wewe unalielewa hilo..mwenzio hko juu kasema kenya hakuna billionaire
Na ndicho tunachosema hapa ss hawa monkeys wanaleta hbr za ksh ingekuwa hvyo bac uku kwetu tungekuwa nao wengi kila mtaa mana ivyo viela wanaviita vya mboga au vijisentiBill wa $ sio wa pesa ya maua.
Na tungewazidi wao idadi,maana tuna ikaribia bilioni kirahisi zaidi ya waoNa ndicho tunachosema hapa ss hawa monkeys wanaleta hbr za ksh ingekuwa hvyo bac uku kwetu tungekuwa nao wengi kila mtaa mana ivyo viela wanaviita vya mboga au vijisenti


.hajui.Hakuna billionaire kenya kuna upuuzi,billionaire hata USD 1 billion hana, sasa huyo ni billionaire uchwaraWacha tu nikupuuze



Hv mpk tumefika hapa tuliwat**mb* wakenya eeh auuMajirani wa Kenya msikose kuja Cameroon kushangilia taifa stars sisi nini ndugu moja upepo wa kisulisuli ukatupeleke mpaka nusu final CHAN
We jinga mtu mwenye billion moja na kuendelea huyo si billionaire,huyo anabaki kuwa millionaire,hapa tuna-deal na over USD 1 billion.. shule ulienda kusomea ujinga ati kijana!Afadhali wewe unalielewa hilo..mwenzio hko juu kasema kenya hakuna billionaire
Mkuu 😂😂😂😂👆👆👆Kumbe ni aje.
Sasa kama billionaire ni kwa case ya local currencies si mtajikuta mnao 13 zimbabwe wako 3mln????



We jinga mtu mwenye billion moja na kuendelea huyo si billionaire,huyo anabaki kuwa millionaire,hapa tuna-deal na over USD 1 billion.. shule ulienda kusomea ujinga ati kijana!