Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii soko ya parachichi tulishatamba Europe kitambo sana siku hizi tumeelekeza macho zetu uchina. Kumbe nyinyi ndio mmeanza saa hii? πŸ˜‚ πŸ˜‚

Mbona umejishuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
And that is exactly the point. Standard currency in the world is the dollar. We may not have a dollar billionaire but have you asked yourselves how many dollar millionaires we have against what you have? Last year alone, Kenya added 900 new dollar millionaires while Tanzania added just 200 of them. In total, there are over 9,000 dollar millionaires in Kenya while Tanzania has has less than 3,000. That should tell you something
takwimu zako ni za uongo etty kenya added 900 $ millionaires
 


0e6ead847ec241fabe8b736f04dc780a.jpg
9f3cc8543455477d8a5d4cd2257f3991.jpg
cac91ec55a0f4f08a8fd0fdf81fd9e0b.jpg
d8462c6d79514267bfed7d89d5bda925.jpg
aea00b10870a49dfb2f63cf95b8d2442.jpg
f2e7c67f491f4db28425314344dd39be.jpg
7472bd16d779491a97273c644c0e70f4.jpg
 
Afadhali wewe unalielewa hilo..mwenzio hko juu kasema kenya hakuna billionaire
We Pimbi kuna bilionea Kwa kipimo cha usa $ kipimo cha Β£ kipimo cha Ksh kipimo cha tsh no Kwa hiyo unapo zungumzia bilionea Kwa kushindanisha nchi mbalimbali ni lazima utumie value moja ya hela kama USA dollars
 
takwimu zako ni za uongo etty kenya added 900 $ millionaires
Lazima tu kila kitu inayoonyesha kenya iko mbele yenu iwe ni ya uongo. Soma hii taarifa uelemike kidogo

 
Kwenda zako nyani wewe... unashindwa hata reasoning ya kawaida tu halafu unaleta porojo...eti binadamu alikuwa nyani,kawaongopee mazwazwa wenzio wa huko kibera
Mimi nyani I reason like a human being, wewe mtu una akili ndogo inayoreason kama ya nyani. Ndiposa chochote unaeza taja cha maana ni nyani. Nyani this, nyani that. Huna kitu cha maana kwa akili yako? nimeona nyani wenye kufikiria zaidi yako. Your thinking is simply primitive. You know where the word primitive comes from? primates aka monkeys. So kabla ya kuita wengine monkey, jiulize kwanza wafikiria kama nini
 
Hii soko ya parachichi tulishatamba Europe kitambo sana siku hizi tumeelekeza macho zetu uchina. Kumbe nyinyi ndio mmeanza saa hii? πŸ˜‚ πŸ˜‚

Parachichi zenyewe mnazo uza nje ya nchi mnapata Tanzania alafu kelele pipa zima πŸ˜‚
 
Parachichi zenyewe mnazo uza nje ya nchi mnapata Tanzania alafu kelele pipa zima πŸ˜‚
Sababu wakulima wanaprefer export kwa kuwa ina faida zaidi sana kuliko kuuza locals. Nyinyi na zile local species ambazo hazikubaliki as exports ndio mnasupplement local market
 
Kuna watu ni mazwazwa sijawahi ona aisee,yaani mwanaume mtu mzima na midevu yako unaamini katika "THEORY EVOLUTION"!!!??.. halafu unakuja kutamba hapa eti una elimu..elimu gani ya kijinga!
With this kind of thinking am sure you say the world is flat and the rain comes from God. Leo I've proven kazi nikupiga makofi when you discover minerals and hydrocarbon resources yet you have no clue how they come about. You see natural features and you have no idea how they came about. The same "elimu ya kijinga" ndio iko na history ya human beings and history ya hizo resources na chanzo cha karibu kila kitu duniani. Kweli nabishana na fala ambaye hajakanyaga darasa. Kajaliwa kupata smartphone ukajiona mwerevu sio? mie sipendi kuita mwenzangu mjinga lakini niruhusu nikuite kwa kuwa you've met all criteria za kuitwa mjinga.
 
Back
Top Bottom