Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Where it hurts✔️You got them where it hurt...congratulation.
#EliminatingBrokenEnglish
Where it hurts✔️You got them where it hurt...congratulation.
dodoma itauwa watuWizara inavyohamia Dodoma, hili jengo lifikiriwe kuwa hoteli ukizingatia lina 117 executive rooms! Uenyekiti wa SADC ni mwaka mmoja tu. Zaidi ya hilo kuna umuhimu wa TPA kwa kushirikiana na TANAPA na TTB kujenga proper berth kwa ajili ya cruise ships Dar, Tanga na Mafia kama Zanzibar!
They need to act quickly as Dar is poised to be a touristic city very soon with the exit of the Government! Imagine with Rovos train n now a revamp of Dar to Arusha NGR plus cruise ships one can come with a flight from overseas then go to Northern circuit then from there to Dar by NGR then board a cruise ship that takes him to Zanzibar then to other Islands to SA.
Or one can then take Rovos train from CT to Dar then to Northern circuit via TRC then back to Dar before boarding a cruiseship to Znz n other Indian ocean Islands before heading back to CT! The opportunities will be immense!
we ni mla gongo na si mnywajiHata hiyoa rdhi ya jamii si eti wanamiliki vile unafikiria. It is owned collectively by villagers. Mtu hawezi sema eti sehemu fulani kwenye kijiji ni shambani lake, la hasha. Ni shamba la kila mwanakijiji
View attachment 1229732
tisha sana waache wabaki na nairobi tu halafu tunawachapaUsiku pana noga hapo balaa
View attachment 1229762
kepsa.or.ke
kaka mkenya kuhusu ardhi hakuna anachoelewa ni makunguru tuUnaongea vitu tofauti na maelezo yangu.
Kwani ardhi ya kimila huwezi kuinunua na ikawa mali yako kutoka kwa muhusika??
Halafu nikurekebishe kwetu hakuna ardhi ya jamii labda kwenu kwenye ukabila.
Ardhi ya jamii ndio ardhi gani???
Unapopewa hati miliki haulipii kitu maana kukodishiwa ni kulipia kitu ili ukitumie kwa muda.
Ila unapoenda kuchukua hati miliki ya kiwanja chako ile inakupa uhalali na utambulisho wa kumiliki eneo lako husika.
Na imewekwa hvyo ili kuepusha migogoro ya ardhi maana kila sehem siku hz watu huuza maeneo wakidai yao kumbe sio yao.
Na kingine ni kuweka urahisi ktk ulipaji kodi.
Nahisi hata kwenu mwalipa kodi ya ardhi.
Na hata ikiisha unaenda kurenew tu wala hulipii chochote na usipolipa kodi hupokonywi ardhi bali TRA itajumlisha kodi yao uwape hela zao basi.
NDIO MAANA NILIKUULIZA UNAJUA MAANA YA KUKODISHIWA WEWE???
ILA HUKUNIJIBU.
NIKAKUULIZA MTZ YUPI ULISIKIA KUWA KAPOKONYWA ARDHI KISA HAJAILIPIA?
NASUBIRI JIBU YA HILO SWALI MAANA DUH NABISHANA NA MLEVI.
huyo kunguru hana cha kusema chenye point kuhusu ardhi kwa mkenya nothing zaidi ya utumwa wa utaifaMbona hukumalizia chini umeishia hapo kukatisha maneno na kuleta umbea??
Unavyoambiwa kuwa ardh ya kijiji wadhani inamaanisha nini??
Hiyo ni ardhi inayomilikiwa na wanakijiji,wanakitongoji ama wanamtaa.
Na hizo zote ni ardhi zinazomilikiwa kimila.
NATAKA MNIAMBIE LINI MTZ AMEPOKONYWA ARDHI KISA HAJAILIPIA KWA KUTUMIA MAANA YA KUKODISHIWA ???
NASUBIRI JIBU.............
sanaaPako freshi kinoma
Na wewe pia nataka uniambie tangu lini mkenya akakosa right ya kumiliki ardhi kama vile mlikuwa mkisema jana


umejikanyaga mzeeeeee kunguru
we haupo timamu hadhi ya upangaji ni uoangaji tu wacha story za kurent kwenye umiliki.....utapigwa

nipo uko mzee kikazi zaidi
View attachment 1230860
View attachment 1230861
Vitu kwa ground dodoma. They tried planning but inakaa Airport iko doomed for expansion in future.
we ni mla gongo na si mnywaji
Bongo planning ya maji ni balaa. and that's supposed to be their capitalView attachment 1230860
View attachment 1230861
Vitu kwa ground dodoma. They tried planning but inakaa Airport iko doomed for expansion in future.
Ubaya ni kwamba unabishana hadi na maneno ya mashirika yenu. Bongolala ni bongolala tu, hakuna siku atabadilikaYani kwa hii post nilimuona bongee la pang'ang'a huyu.
Yani hata ardhi ya kijiji haijui.
Anadhani ardhi ya kijiji ni ile ya jumuiya kumbafu huyu.
Ardhi ya kijiji ni local lands wanazomiliki local people in their localities ndio maana nikamwambia hiyo ardhi inamilikiwa kimila mathalan kurithishana mzee kafa unakamata ardhi yake inakuwa yako.
Asa km ni ardhi ya wanakijiji wote mtu unairithije???
Halafu eti ndio watu werevu hawa !!!
Baada ya kuona wanaume wanaiongelea Dodoma, uka ingia google kujaribu kutafuta kasoro ukaishia kuona Airport tu! Hiyo airport itahamishwa msee, eneo limesha patikana na hatua zote za awali zimefanyika, pesa zipo tayari. Soon tender itatangazwa "Msalato airport" huo mchoro upo subject to change.View attachment 1230860
View attachment 1230861
Vitu kwa ground dodoma. They tried planning but inakaa Airport iko doomed for expansion in future.