Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gn1odDU.jpg
Nyaah92.jpg

Third tallest building in East and Central Africa
 
Eti Nairobi is fully developed city without plan 😂 😂 😂. Kama Nairobi haiko planned then what will we say of Dar? Najua ni ushabiki tu ila hapo emenichekesha kweli. Nairobi is not a world class City and it may have slums but when it comes to planning, hakuna mji inafikia Nairobi ukanda huu na ndio maana siku zote mnasema ilijengwa na wazungu.

Hapo kwa Tanga, nitakubaliana nawe kabisa. It is the best planned and most organised town in Tanzania and by extension one of the best in EA as far as planning is concerned. Lakini hii Dodoma mnayotaja hapa bado sana tena sana
Naongelea slums, Nairobi ina slums, Dodoma haina slums

Halafu futa notion iliopo kwenye kichwa chako kwamba miji ya Tanzania haipo planned, sikatai ipo miji ambapo some of their areas are not properly settled lakini most of the cities and towns are well established,

Check with the Singida and Musoma as a study case quite unpopular lakini zipo good
Screenshot_2019-10-13-10-04-52.png
Screenshot_2019-10-13-10-04-39.png
Screenshot_2019-10-13-10-04-09.png
Screenshot_2019-10-13-10-02-36.png
Screenshot_2019-10-13-10-02-09.png
 
Attachments

  • Screenshot_2019-10-13-10-02-09.png
    Screenshot_2019-10-13-10-02-09.png
    923.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_2019-10-13-08-51-08.png
    Screenshot_2019-10-13-08-51-08.png
    948.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_2019-10-13-10-02-09.png
    Screenshot_2019-10-13-10-02-09.png
    923.4 KB · Views: 4
Naongelea slums, Nairobi ina slums, Dodoma haina slums

Halafu futa notion iliopo kwenye kichwa chako kwamba miji ya Tanzania haipo planned, sikatai ipo miji ambapo some of their areas are not properly settled lakini most of the cities and towns are well established,

Check with the Singida and Musoma as a study case quite unpopular lakini zipo good
View attachment 1231575View attachment 1231576View attachment 1231577View attachment 1231578View attachment 1231582
Hakuna mahali nimesema Nairobi haina slums. Ziko ila that has not stopped it from being the city it is today - The most important one in the region. Then tuwache kudanganyana. Dodoma might still be a young town but to say that haina sehemu duni is laughable. It's like saying all people living in Dodoma are rich which can't be true. Slums ziko but you always don't accept you have them like in the case of Dar. Mnataka muone sehemu imeandikwa slum kwa google earth ndo mjue kweli ni slum wakati kila kitu inayoonyesha kuna slum. That is to live in denial
 
Hahaha unless slum got a new definition but from what I know about slum, there's no single slum in Dodoma, hakuna wala haitokuja kutokea slum Dodoma, and if you got proof, step it forward hakuna siri kwenye this technological era,

Go dig on Google Earth
 
Eti Nairobi is fully developed city without plan . Kama Nairobi haiko planned then what will we say of Dar? Najua ni ushabiki tu ila hapo emenichekesha kweli. Nairobi is not a world class City and it may have slums but when it comes to planning, hakuna mji inafikia Nairobi ukanda huu na ndio maana siku zote mnasema ilijengwa na wazungu.

Hapo kwa Tanga, nitakubaliana nawe kabisa. It is the best planned and most organised town in Tanzania and by extension one of the best in EA as far as planning is concerned. Lakini hii Dodoma mnayotaja hapa bado sana tena sana
Eti Town! Wewe jamaa kama demu, punguza wivu. Tanga is a city
 
Hahaha unless slum got a new definition but from what I know about slum, there's no single slum in Dodoma, hakuna wala haitokuja kutokea slum Dodoma, and if you got proof, step it forward hakuna siri kwenye this technological era,

Go dig on Google Earth
Just as I said, you believe it must be written by someone on Google earth to believe that it exists. Well, I'll give you a typical example

The picture below is of Kawangware, which according to Tanzanians is a slum just because someone wrote so on Google earth
images(46).jpg

While these ones in Dar below are not slums because it has not been written so anywhere on Google earth

manzese980d6ac60f714237b61d83162fdc3f0resize750.jpeg
tapatalk_1567199234954.jpeg
Screenshot_20190926-172636.png

I can't see any difference between these three Dar pictures and the first one from Nairobi which aparrenty is a slum. This is how much you've perfected the act of denial
 
It is on Sunday and the roads are clear
 
Nani kakwambia naangalia ukubwa...wacha kujitoa ufahamu wewe...kisha mnaiita modern train..si ujinga huo
Wewe unaangalia ukubwa, tunachojali sisi ni uwezo wa kituo kukidhi matakwa na tekinolojia ya kisasa iliyotumika.
 
Back
Top Bottom