Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

C13.jpg
Wizara inavyohamia Dodoma, hili jengo lifikiriwe kuwa hoteli ukizingatia lina 117 executive rooms! Uenyekiti wa SADC ni mwaka mmoja tu. Zaidi ya hilo kuna umuhimu wa TPA kwa kushirikiana na TANAPA na TTB kujenga proper berth kwa ajili ya cruise ships Dar, Tanga na Mafia kama Zanzibar!

They need to act quickly as Dar is poised to be a touristic city very soon with the exit of the Government! Imagine with Rovos train n now a revamp of Dar to Arusha NGR plus cruise ships one can come with a flight from overseas then go to Northern circuit then from there to Dar by NGR then board a cruise ship that takes him to Zanzibar then to other Islands to SA.

Or one can then take Rovos train from CT to Dar then to Northern circuit via TRC then back to Dar before boarding a cruiseship to Znz n other Indian ocean Islands before heading back to CT! The opportunities will be immense!
 
Wizara inavyohamia Dodoma, hili jengo lifikiriwe kuwa hoteli maana lina 137 executive rooms! Maana uenyekiti wa SADC ni mwaka mmoja tu! Kuna umuhimu wa TPA kwa kushirikiana na TANAPA na TTB kujenga proper berth kwa ajili ya cruise ships Dar na Mafia kama Zanzibar! They need to act quickly as Dar is poised to be a touristic city very soon with the exit of the Government !
Nilisikia wapo kwenye hiyo mipango ya kujenga

Heheeee...we nitusi unavyotaka lkn ukwel ni kwamba, hayo yote unayoyaongelea kenya yapo...
Halafu umenielewa lkn unataka kuzuga tu...ardhi ya jamii utaimiliki kw sababu mayb wewe ni wa hyo jamai au hta ya kijiji utarithi kutoka kw baba yako...
Sasa maneno mengi ya nn?hapa nataka unieleze mtu kumiliki ardhi yake mwenyewe pale anapotaka sio eti ategemee ya jamii...

Kw mfano kenya mtu wa mombasa akinunua ardhi ngong anapewa tittle deed na wala hamna wa kumtatiza, ni ya kwake milele...
Tatizo hutaki kukubali km mnakodishiwa ardhi...yani unanua ardhi na unapewa hati lkn unawekewa mda ukiisha unaregea tena hko uka renew km sio u squater ni nn?
Hata hiyoa rdhi ya jamii si eti wanamiliki vile unafikiria. It is owned collectively by villagers. Mtu hawezi sema eti sehemu fulani kwenye kijiji ni shambani lake, la hasha. Ni shamba la kila mwanakijiji

PhotoGrid_1570799555267.jpg
 
Unaongea vitu tofauti na maelezo yangu.
Kwani ardhi ya kimila huwezi kuinunua na ikawa mali yako kutoka kwa muhusika??
Halafu nikurekebishe kwetu hakuna ardhi ya jamii labda kwenu kwenye ukabila.
Ardhi ya jamii ndio ardhi gani???
Unapopewa hati miliki haulipii kitu maana kukodishiwa ni kulipia kitu ili ukitumie kwa muda.
Ila unapoenda kuchukua hati miliki ya kiwanja chako ile inakupa uhalali na utambulisho wa kumiliki eneo lako husika.
Na imewekwa hvyo ili kuepusha migogoro ya ardhi maana kila sehem siku hz watu huuza maeneo wakidai yao kumbe sio yao.
Na kingine ni kuweka urahisi ktk ulipaji kodi.
Nahisi hata kwenu mwalipa kodi ya ardhi.
Na hata ikiisha unaenda kurenew tu wala hulipii chochote na usipolipa kodi hupokonywi ardhi bali TRA itajumlisha kodi yao uwape hela zao basi.

NDIO MAANA NILIKUULIZA UNAJUA MAANA YA KUKODISHIWA WEWE???
ILA HUKUNIJIBU.
NIKAKUULIZA MTZ YUPI ULISIKIA KUWA KAPOKONYWA ARDHI KISA HAJAILIPIA?
NASUBIRI JIBU YA HILO SWALI MAANA DUH NABISHANA NA MLEVI.
 
Hata hiyoa rdhi ya jamii si eti wanamiliki vile unafikiria. It is owned collectively by villagers. Mtu hawezi sema eti sehemu fulani kwenye kijiji ni shambani lake, la hasha. Ni shamba la kila mwanakijiji

View attachment 1229732
Mbona hukumalizia chini umeishia hapo kukatisha maneno na kuleta umbea??
Unavyoambiwa kuwa ardh ya kijiji wadhani inamaanisha nini??
Hiyo ni ardhi inayomilikiwa na wanakijiji,wanakitongoji ama wanamtaa.
Na hizo zote ni ardhi zinazomilikiwa kimila.

NATAKA MNIAMBIE LINI MTZ AMEPOKONYWA ARDHI KISA HAJAILIPIA KWA KUTUMIA MAANA YA KUKODISHIWA ???

NASUBIRI JIBU.............
 
Na wewe pia nataka uniambie tangu lini mkenya akakosa right ya kumiliki ardhi kama vile mlikuwa mkisema jana
 
Mbona unanipa kesi siyo yangu ndugu???
Halafu inaonekana ndugu yangu mwepesi kusahau yani unasahau mapema mno km samaki.
Toka naanza kubishana na ww kuhusu umilikaji ardhi mjadala ulikua kukupinga kuwa Tanzania hatukodishiwi ardhi.
Kuhusu ninyi umilikaji ardhi sikuongea kitu mtafute alosema hivyo.
Ila nilileta nakala inayoonesha kuwa ninyi native Kenyans mnamiliki asilimia ndogo sana ya ardhi.
Hata jana nilikuthibitishia hilo ila ushasahau mkubwa.
Hiyo kesi ya kuwa ninyi hamruhusiwi umilikaji ardhi mtafute alokwambia kaka.

MIMI NATAKA JIBU LA PALE JUU TU.........
 
Shikilia hapa hapa mkuu ,
Wasibadilishe gear angani wajibu hii sehemu.
Nawashangaa kaka ilhali mm nina shamba mla mleni kongowe ndani huko heka 13 nililiacha sikulishughulikia na kupata hati miliki.
Mwez wa ramadhan nikapigiwa sim na watu wanaonilindia kule kuwa raia wanataka kujigawia maeneo.
Nikaenda afisa ardhi alikuja nikapimiwa eneo langu na kuambiwa nikate hati miliki nikakata ili kuepusha mgogoro wa ardhi na nikaanza ulipaji kodi kwa kupigia mahesabu na kodi za nyuma na hati nimetengenezewa fresh tu.
Sasa najiuliza,MBONA SERIKALI HAIKUNIPOKONYA SHAMBA KM WAO WANATUKODISHA ARDHI??
MBONA WAO WALIDAI KODI YA ARDHI SIO HELA YA UKODISHAJI ARDHI NA MBONA HATUKUANDIKISHIANA MKATABA KUWA NIMEKODI ARDHI INAYOMILIKIWA NA AFISA ARDHI NA NITALIPIA NA NIKISHINDWA NIRUDISHE MALI YAO,MBONA HV HAVIPO??
HADI SASA NAJIULIZA .
 
Wala Usiaangaike tena kumjibu achana nae.
 
Kwhyo zile habari za ku lease ardhi ni urongo, ama ubapinga
Unaongea vitu tofauti na maelezo yangu.
Kwani ardhi ya kimila huwezi kuinunua na ikawa mali yako kutoka kwa muhusika??
Halafu nikurekebishe kwetu hakuna ardhi ya jamii labda kwenu kwenye ukabila.
Ardhi ya jamii ndio ardhi gani???
Unapopewa hati miliki haulipii kitu maana kukodishiwa ni kulipia kitu ili ukitumie kwa muda.
Ila unapoenda kuchukua hati miliki ya kiwanja chako ile inakupa uhalali na utambulisho wa kumiliki eneo lako husika.
Na imewekwa hvyo ili kuepusha migogoro ya ardhi maana kila sehem siku hz watu huuza maeneo wakidai yao kumbe sio yao.
Na kingine ni kuweka urahisi ktk ulipaji kodi.
Nahisi hata kwenu mwalipa kodi ya ardhi.
Na hata ikiisha unaenda kurenew tu wala hulipii chochote na usipolipa kodi hupokonywi ardhi bali TRA itajumlisha kodi yao uwape hela zao basi.

NDIO MAANA NILIKUULIZA UNAJUA MAANA YA KUKODISHIWA WEWE???
ILA HUKUNIJIBU.
NIKAKUULIZA MTZ YUPI ULISIKIA KUWA KAPOKONYWA ARDHI KISA HAJAILIPIA?
NASUBIRI JIBU YA HILO SWALI MAANA DUH NABISHANA NA MLEVI.
 
Hyo jamaa ana shida sana...anataka kutu aminishia km tanzania serikali imeacha ku lease ardhi kw wana nchi wake..

Back
Top Bottom