Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muache apingane na hilo pachiko...jamaa ywataka kunidanganya na wakati land act yenyewe inasema hvo...
Ywataka kuonyeshwa wapi pameandikwa wanakodishiwa na wakati tayari ardhi unaimiliki kw mda flani..mtu km huyo haina faida uendelee nae...
Nimeamua kumuacha aendelee na mapambio...

Inawezekanaje nicxie ununue chombo chako dukani, halafu uambiwe baada ya miaka flani eti urudi dukani uka ki renew, hicho kitakuwa chako kwel au umefanya kupewa km msaada tu.... eti sababu kuna watu huuza mashamba kiholela kwn mtu ukiwa na hati utababaika na nn kuhusu shamba lako...si atakayeuziwa shauri yake atajipanga
These are masters in denial. Atakuzungusha kwelikweli. Hadi mambo yaliyowazi yanapingwa!
 
Heheeeee!!watumwa katika ubora wao...ndio manake nikasema, hawa jamaa wanapenda sana kupiga domo tu...ardhi bongo ni ya ccm chini ya kinara wao jiwe...wao wapo wapo tu,
Yani ukitaka unafanya kupewa then unaishi km squater vile
Now this is the most interesting part. Kule vijijini, ardhi yote inasimamiwa na Almashauri ya Ardhi, wala si watu binafsi. Yani huwezi ukasema eti unamiliki kipande cha ardhi kijijini sehemu fulani, bali ni ya wanavijiji wote chini ya hiyo Almashauri ya Ardhi. Hata Ukitaka kufanya kitu chochote kwenye ardhi kule kijijini, ni lazima upate kibali kutoka kwa hiyo Almashauri ya Ardhi!! Hii si ni utumwa???

View attachment 1230195

Alafu wanakuja hapa na porojo za "Wakenya wengi hawana mamlaka ya kumiliki ardhi" wakati mambo kule kwao ni ya kuhuzunisha!
 
Heheeee...we nitusi unavyotaka lkn ukwel ni kwamba, hayo yote unayoyaongelea kenya yapo...
Halafu umenielewa lkn unataka kuzuga tu...ardhi ya jamii utaimiliki kw sababu mayb wewe ni wa hyo jamai au hta ya kijiji utarithi kutoka kw baba yako...
Sasa maneno mengi ya nn?hapa nataka unieleze mtu kumiliki ardhi yake mwenyewe pale anapotaka sio eti ategemee ya jamii...

Kw mfano kenya mtu wa mombasa akinunua ardhi ngong anapewa tittle deed na wala hamna wa kumtatiza, ni ya kwake milele...
Tatizo hutaki kukubali km mnakodishiwa ardhi...yani unanua ardhi na unapewa hati lkn unawekewa mda ukiisha unaregea tena hko uka renew km sio u squater ni nn?
Hadishii njoo uongo njoo utamukolea teh te teee !!! Kwahiyo wewe unaweza kununua ardhi !!?? Usinitake nicheke
 
TUELEWANE coffer dam + 4 ships construction loading....

Screenshot_2019-10-12-08-29-35.png
Screenshot_2019-10-12-08-28-13.png
Screenshot_2019-10-12-08-25-58.png
Screenshot_2019-10-12-08-25-46.png
Screenshot_2019-10-12-08-24-54.png
Screenshot_2019-10-12-08-22-56.png
Screenshot_2019-10-12-08-22-47.png
Screenshot_2019-10-12-08-22-34.png
Screenshot_2019-10-12-08-21-19.png
 
Back
Top Bottom