Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haloooo haloooo ndugu wateja wetu pendwa treni yetu itaanza safari mda si mrefu toka hapa station ya nairobi hadi mombasa.....halooo haloooo mnanisikia haloo haloo ngoma battery low...
haloo halooo karibuni sana......
local treni local life,local sgr local peoples wakenya mnavisa sana kama mmeshindwa kuutouch speakears mngekausha tu kuliko hivyo maana mnatuletea haibu east africaView attachment 1220487
Even tazara wako vizuri,hawana upuuzi kama huo.. Kenyans are addicted to ugly things
 
hio ni momba, Mbeya.. kuna wafanyabiashara wanatoka nchi jiran hapo wanakuja either kununua au kuuza hapo. Is it still a wonder to call it an international market???
Usimshangae wakenya hujifanya wanajua kila kitu na kumbe kichwani hamna kitu!!!...kenyans are muchknow
 
Look at this flyover them monkey talk 'bout
Jamaa wanapanga tofali huku na kule kisha flyover tayari no pillars at all
 
Attachments

  • IMG_20191001_194406_830.jpg
    IMG_20191001_194406_830.jpg
    251.2 KB · Views: 17
Upo shallow sana mzee toka kwenye ile gold illusion refinery mpaka kwenye hii International Market na mengine mengi inazidi kuonekana namna ulivyo kibakuli

Hilo soko ni International sababu lipo mpakani na lengo ni kufanya International trade au cross border business na mataifa ya pembezoni hapo kama Malawi na Zambia
Ko international market huwa zinajengwa? Ku cross border na kutrade ni nini? Upuuzi wa hivyo uko Tzn tuu
 
Is Kunyaland having any international market that u know about?

Even Longido n Namanga that border Kenya is having one!

Upuuzi wa sijui kujenga international market uko huko nchi za kijamaa za ldc like tzn huwezi kuta ujinga wa hivyo kwenye nchi za kibepari
Cross border trading is the international market known sio kujenga structure na ku assemble baba and mama lishe hapo kisha mzungu aje kununua msosi ndo eti international mkt? 😄😄😄😄
 
Upuuzi wa sijui kujenga international market uko huko nchi za kijamaa za ldc like tzn huwezi kuta ujinga wa hivyo kwenye nchi za kibepari
Cross border trading is the international market known sio kujenga structure na ku assemble baba and mama lishe hapo kisha mzungu aje kununua msosi ndo eti international mkt?
Buda hauko serious kabisa! What is market? Yani international trade kwako unaionaje? Kwamba una cross tu border bila kujua taratibu za kodi na ushuru? Documentation? Center Kati ya buyer na seller? Au uta cross border tu na kuanza kuzurura kutafuta bidhaa?

Unaposikia soko unajua ni lile la mama lishe na mitumba tu kama gikombaa? Hapo ni soko lenye kila government institution ili kufacilitate biashara na ku cut down some costs na red tapes.
 
Kadanganye bibi yako,kuna such upuuzi mwingi sana wa hivyo Tzn ikiwemo kibaigwa na Tunduma hamna cha maana zaidi ya store za mahindi,ndo international market hizo?😆😆😆😆
 
Kadanganye bibi yako,kuna such upuuzi mwingi sana wa hivyo Tzn ikiwemo kibaigwa na Tunduma hamna cha maana zaidi ya store za mahindi,ndo international market hizo?
Ewaaaa! Kumbe unayafahamu haya masoko vizuri na namna yanavyo operate. Ila sasa lile la longido itabidi tulihamishie Pugu tu. Tunajenga machinjio ya kisasa tuta uza nyama kwa mahotel na ku export wenyewe. Hatutauza Ng'ombe mzima mzima tena.
 
Hawa wanajali quantity ,eti tunazo 50 is uchumi gani? Mfugale tu tsh B100
Hahaha mkuu, hawa jamaa flyover zao na madaraja yote kwenye makaratasi wametumia pesa nyingi sana. Pesa ambayo Kwetu hapa tungejenga hii SGR from Dar to Mwanza. Na kipande ya kigoma na isaka. Wanajua ku inflate Sana. Taxpayers si watarejesha?!
 
kaka wacha nikuelimishe. Kwanza kumbuka salaries za LDC na MDC ni tofauti. Kisha twende kwenye land ownership. Hapa land kubwa ni ya wananchi na lazima walipwe. Kisha bei ya shamba Kenya iko juu sana huezi compare na Tz. Hamna mambo ya inflated cost
 
Upuuzi wa sijui kujenga international market uko huko nchi za kijamaa za ldc like tzn huwezi kuta ujinga wa hivyo kwenye nchi za kibepari
Cross border trading is the international market known sio kujenga structure na ku assemble baba and mama lishe hapo kisha mzungu aje kununua msosi ndo eti international mkt?
umepanic mzee hata haueleweki
 
Back
Top Bottom