Hiyo bado ni flyover, ama kwako flyover inamaanisha nini? that road kwanza inaenda kufungua areas ambazo previously zilikuwa underserved. It runs parallel to Thika Road kufungua vitongoji vya Kiambu na pia kupunguza traffic ya Thika Road from Muthaiga interchange. Haja haikuwa kujenga bara bara ya lane 8 na daraja fancy ilhali demand yake haiko juu vile kwa sasa. Wewe Simon vile nimeconclude hujai fika Nairobi ujue nini unaongea. Bara bara ya outerring niliyoonyesha juzi inaserve population kubwa sana ya Eastlands hence the numerous flyovers etc na kama sio wizi bara bara hiyo was to beat Thika Road kwa design. Kama kuna kitu tumewekeza pesa zetu ni kwa bara bara na hapo itachukua nchi za Afrika mashariki decades kufika hiyo level. Lakini as I said earlier, infrastructure design and expenses are determined by the demand na sio achievement kujenga flyover kwa kuwa nchi nyingi za ulaya hazina hata hizi flyover yet they are wealthier. Just that their mass transport is efficient. Shida moja na nyinyi waTz ni hamtuonyeshi anything better. You only have proposals na one flyover ambayo imeisha na skyscrapper nne. You're just trash talking for the sake of it. Hiyo Kibamba CCM overpass ziko kadhaa hapa which are even better na bado zinaongezeka.Nimeshangaa sana kuona wakenya wanaiita hii structure yao FLYOVER na wameinclude kbsa kweny list ya flyovers zilizopo kweny nchi yao View attachment 1221325 View attachment 1221327
Nimeshangaa sana kuona wakenya wanaiita hii structure yao FLYOVER na wameinclude kbsa kweny list ya flyovers zilizopo kweny nchi yao View attachment 1221325 View attachment 1221327
Kwahyo nairobi haaijachakaa? Ni wakenya wote wanaishi kwenye hzo estates?Na ndio sababu Dar imechakaa na kukaa vibaya zaidi sababu kila mjinga anajenga vile atakavyo bila kufuata kanuni za ujenzi ,mitindo ya area na usawa wa manyumba ziwe same sizes .
Any society where everybody does whatever they want always ends up in chaos like Dar.
Peleka usenge mbali. Hiyo ghorofa ya blue imeletwa hapo juu kwenye huu kurasa Na mmoja wenu (post #161,453) imerudiwa mara ngapi hapa ndani? Nyinyi ndio wale nyani wasioona kundu zao but are so quick kuona za wenzao
Dumb as rock, na International Airports, international schools, do you even know the meaning of the word *International*, fool that's like intercity, intercontinent, interdisciplinary....Ko international market huwa zinajengwa? Ku cross border na kutrade ni nini? Upuuzi wa hivyo uko Tzn tuu
Kenyans have history of greatness with particular case being a son of a Kenyan brother Barack Hussein Obama from the lakeside occupying the most powerful office in the world while a sister Lucy Gichuhi from central province in Kenya was elected a senator in Australia,a somali Ilhan Omar that fled to Kenya and lived in Daa-dab refugee camp in Kenya was elected as a member of US congress in 2016...If that is what you are calling cheap,then i concur with you but please give me one great tanzanian that has ever crossed the blue line apart from Mwalimu Julius Kabarage Nyerere.mzee unaongea vitu cheap sana ni normal sana huyo kijana hana history yeyote hajulikani na hana mantiki yeyote yakifaida kwenye nchi yenu......
hata hapo alipo yupo kama kibendera ni nothing mzee ongea vya msingi![]()
Jambo amabalo hamjui ni BRT si achievement and there's a lot to consider before implementing one. Hizo basi za BRT ziko hapa zinaoperate wih private companies. One big problem na kuleta BRT Kenya ni kuwa our matatus are in saccos and saccos have made billions of investments outside their core business kama majumba, agricuture etc. Huezi tu ukaamka na kusema hutaki they operate yet they might be servicing loans na pia wanaajiri thousands of people. Nowanda uliskia wameanza pole pole kunyima 14-seaters leseni ili kupunguza risk. Private companies pia wana ubabe wa kifedha na si rahisi kudetermine who buys what amount of shares kama BRT will be privatized. Kunua basi na kuweka kwa bara bara si jambo gumu kama unaovyo ona hapa chini private investors na institutions wako nazo. Usisahau your government ordered buses from a Kenyan company. You just have to put a lot of considerations before a BRT system in our country. Our economic systems are very different.Tofauti yao taa wameweka katikati sisi tumeweka pembeni, sisi kati kati tumeweka BRT lanes. Baadae wata anza kutafuta makopo ya rangi na kuanza kuchorachora huku wakijisifia kuwa wanajua ku plan mipango ya baadae.
wewe naona nikulipie fare ya kuja Nairobi uache kupiga kifua hapa na jiji ambalo ni sawia na Mombasano relation🤷🏿♂️
Your national budget is 3 trillion, how you made 1.4 trillion per month?Sisi tulikusanya ksh1.4 trln kwa pesa ya madafu ni about tzsh30 trln kweli nyie ni ldc
Jambo amabalo hamjui ni BRT si achievement and there's a lot to consider before implementing one. Hizo basi za BRT ziko hapa zinaoperate wih private companies. One big problem na kuleta BRT Kenya ni kuwa our matatus are in saccos and saccos have made billions of investments outside their core business kama majumba, agricuture etc. Huezi tu ukaamka na kusema hutaki they operate yet they might be servicing loans na pia wanaajiri thousands of people. Nowanda uliskia wameanza pole pole kunyima 14-seaters leseni ili kupunguza risk. Private companies pia wana ubabe wa kifedha na si rahisi kudetermine who buys what amount of shares kama BRT will be privatized. Kunua basi na kuweka kwa bara bara si jambo gumu kama unaovyo ona hapa chini private investors na institutions wako nazo. Usisahau your government ordered buses from a Kenyan company. You just have to put a lot of considerations before a BRT system in our country. Our economic systems are very different.
View attachment 1221393
View attachment 1221397
JKIA wako na hig capacity buses zao
View attachment 1221399
KU wako na zao ambazo zinaserver within their expansive campus
View attachment 1221401
Nairobi is just like my toilet,i go whenever I wantwewe naona nikulipie fare ya kuja Nairobi uache kupiga kifua hapa na jiji ambalo ni sawia na Mombasa
$100 million towards compensation. Cost of Selander was budgeted at $90M but ended up $100 - 150 million. Waona hiyo ni compensations za MSA gate tu? Mombasa Gate ni a 1.4km cable bridge with just two pillars with a span of 600+ meters close to the shores but Selander is about 600 meters long and has 14 or so pillars in a span of 40 meters. See the length itself is more than double that of selander. From a layman's argument, it means the cost in terms of length should be double ($100 m * 2). Add that $200 (Constructions of bridge) + $100 (compensation) gives you $300 million. Now lets go to the viaducts given that MSA Gate clearance is 69M. From the two main spans (apprx. 600m wide), the side spans are apprx. 300 meters. Imagine the size of the ramps. The main approach roads and those that require widening total to about 9km. See if the cost is inflated its probably $10-20 million. (NB: the costs are approximations to the lowest figure possible)Wewe angalia gharama ya mkopo Japan waliotoa kujenga daraja la likoni ni sh ngapi? Halafu angalia structure na urefu wa hilo daraja. Halafu compare na structure na urefu na jumla ya gharama za salander bridge ndio utaelewa.
Hata bongo watu wanavunjiwa na kulipwa fidia vile vile. Halafu kwenyu hapo ni developed country hivyo hata costs za materials ni cheap maana mna viwanda vingi!? Eti? Hahah hebu niambie gharama za kupaka rangi barabara za kuandika BRT only ilikuwa kandarasi ya sh ngapi? Au hiyo lami ya robo inchi mnapaka juu ya barabara kama mafuta na pesa nyingine inaenda huko kwa Wenye mifuko mipana
Kumbuka hiyo garbage has 6000 millionaires while Dar has 1000. Kabishane na vijiji kama MaputoNairobi is just like my toilet,i go whenever I want
Who doesn't know the slumhub of africa???? nairobi is just the garbage,be exposed