carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,272
Wewe angalia gharama ya mkopo Japan waliotoa kujenga daraja la likoni ni sh ngapi? Halafu angalia structure na urefu wa hilo daraja. Halafu compare na structure na urefu na jumla ya gharama za salander bridge ndio utaelewa.kaka wacha nikuelimishe. Kwanza kumbuka salaries za LDC na MDC ni tofauti. Kisha twende kwenye land ownership. Hapa land kubwa ni ya wananchi na lazima walipwe. Kisha bei ya shamba Kenya iko juu sana huezi compare na Tz. Hamna mambo ya inflated cost
Hata bongo watu wanavunjiwa na kulipwa fidia vile vile. Halafu kwenyu hapo ni developed country hivyo hata costs za materials ni cheap maana mna viwanda vingi!? Eti? Hahah hebu niambie gharama za kupaka rangi barabara za kuandika BRT only ilikuwa kandarasi ya sh ngapi? Au hiyo lami ya robo inchi mnapaka juu ya barabara kama mafuta na pesa nyingine inaenda huko kwa Wenye mifuko mipana
