Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

povu la malaya aliyekosa kulipwa pesa baada ya kuliwa tuta......
so sorr my jirani
That language is uncalled for. I refuse to be drawn to such. Clear ad hominem when cornered. Jadili hoja usikike sio kumrushia matusi aliyetoa hoja, hilo halichangii popote katika kuinua uhadhi wa hoja zako.
 
Naona sura za waAfrika tu hapa

IMG_20190814_184756.jpg

Jameni tukisema huku ni ulaya hatuwatanii

IMG_20190814_144543.jpg

Nchi ya Tusker na burudani 😎😎😎 mind you hii rooftop club and pool ya mall ingine. Bado naona tu waAfrika wakipiga sherehe

IMG_20190504_185940.jpg

IMG-20190507-WA0005.jpg

Nakuru town haina hadhi kama Mombasa wala Kisumu lakini flyover za kisasa zipo na zinatumika, hapa hamna story ni kujenga tu

IMG_20181226_123819.jpg

Bado Nakuru town (not City) Hii mechi naonelea iwe ya Dar vs Nakuru 🤣🤣

Nakuru.jpg

Thika Town hapa chini mji mdogo lakini standards international. Naona sura za kiAfrika bado.

IMG_20190419_181502.jpg

Eldoret town hii hapa ina 3* standards za hizo 5* za Dar mnatuonyesha hapo. Flyover ingine mega iko under construction huko.
 
Naona sura za waAfrika tu hapa

View attachment 1220333

Jameni tukisema huku ni ulaya hatuwatanii

View attachment 1220339

Nchi ya Tusker na burudani 😎😎😎 mind you hii rooftop club and pool ya mall ingine. Bado naona tu waAfrika wakipiga sherehe

View attachment 1220340
View attachment 1220362

Nakuru town haina hadhi kama Mombasa wala Kisumu lakini flyover za kisasa zipo na zinatumika, hapa hamna story ni kujenga tu

View attachment 1220363

Bado Nakuru town (not City) Hii mechi naonelea iwe ya Dar vs Nakuru 🤣🤣

View attachment 1220372

Thika Town hapa chini mji mdogo lakini standards international. Naona sura za kiAfrika bado.

View attachment 1220380
Eldoret town hii hapa ina 3* standards za hizo 5* za Dar mnatuonyesha hapo. Flyover ingine mega iko under construction huko.
View attachment 1220378
Kwa hiyo sasa hivi ni all Kenyan cities combined vs Beautiful Dar es salaam 😂😂😂
 
not sure if this happens in Kenya

Mambo ya kawaida kaka. Am searching for a documentary I was watching a while back on the e-doctor thing in Kenya which is done in rural areas. Anyone with a link you can share. We're now focusing on Universal health Care. Yaani bima ya afya kwa wote in addition to the existing NHIF
 
haloooo haloooo ndugu wateja wetu pendwa treni yetu itaanza safari mda si mrefu toka hapa station ya nairobi hadi mombasa.....halooo haloooo mnanisikia haloo haloo ngoma battery low...

haloo halooo karibuni sana......

local treni local life,local sgr local peoples wakenya mnavisa sana kama mmeshindwa kuutouch speakears mngekausha tu kuliko hivyo maana mnatuletea haibu east africa
tapatalk_1569924267947.jpeg
 
haloooo haloooo ndugu wateja wetu pendwa treni yetu itaanza safari mda si mrefu toka hapa station ya nairobi hadi mombasa.....halooo haloooo mnanisikia haloo haloo ngoma battery low...

haloo halooo karibuni sana......

local treni local life,local sgr local peoples wakenya mnavisa sana kama mmeshindwa kuutouch speakears mngekausha tu kuliko hivyo maana mnatuletea haibu east africaView attachment 1220487
jionee tofauti
ea_3792_lr.jpg

1569926619851.jpeg

Russia-strizh-train.jpg

freiburg-baden-wurttemberg-germany-july-30-2018-railway-guard-on-the-platform-next-to-open-door-of-ice-high-speed-intercity-express-train-PKF6W2.jpg
 
Back
Top Bottom