Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have uploaded so many photos here from Google Earth, google maps, normal camera photos and many others. So shida yako haswa ni nini? Google earth images show real time image of a particular place; they are not uploaded images as you imply here. So picha nilozoleta hapa za google earth ni images ambazo hata saa hii ukienda kwenye hizo maeneo, utapata yako hivyo hivyo vile google earth inazitoa ila nyinyi mnasemaga eti zimebolewa. Endeleeni kukaba kila kitu ila ukweli itabaki pale pale
Si kweli,wewe hujaijua vizuri Google earth,halafu we mzee wa natural calamity unajifanyaga unajua kila kitu
 
The most modern stadium in East Africa
(zoom it)
IMG_1569596920.780791.jpg
 
Hawa wanaogopa kupga aerial view mana nairobi ni mbaya. Wanafananisha kkoo na vijumba vya watu vya kuishi. Hawawez leta aerial view wataleta picha moja moja kutudanganya hapa, na wakileta aerial view bas ni usiku na mapodapoda kibao. Wakat pcha za nairobi tunazo. Hamna kitu pale mzee babaView attachment 1217259View attachment 1217260
Nikasema mleta aerial views za mitaa zenu (not rich neighbourhoods) Nairobi Bado sijaona. Sisi picha aerials ukitaka nitakuletea hata sasa
 
Hapa panatoshea kibera 2,000 na bado kubaki space. Na ile shule in the middle on the right top corner ndo st kuyumba?
Kumbe hata wewe unajua tu inafanana naongea kibera? Asante kwa kutambua kwamba hakuna sehemu Nairobi inaweza fananishwa kama sio mitaa za mabanda
 
Back
Top Bottom