LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
At least Kenya kuna slum na posh na average area. So this is 'middle class'? in dar??looks like a hugeass villageDar Middle class naona, very developed si kama kenya kuna slums.
At least Kenya kuna slum na posh na average area. So this is 'middle class'? in dar??looks like a hugeass villageDar Middle class naona, very developed si kama kenya kuna slums.
Taratibu tu tutaelewana...This is the only estate I respect in Dar. Good planning, nice houses with plenty of green spaces. zingine zote ni uchwara tu
I have uploaded so many photos here from Google Earth, google maps, normal camera photos and many others. So shida yako haswa ni nini? Google earth images show real time image of a particular place; they are not uploaded images as you imply here. So picha nilozoleta hapa za google earth ni images ambazo hata saa hii ukienda kwenye hizo maeneo, utapata yako hivyo hivyo vile google earth inazitoa ila nyinyi mnasemaga eti zimebolewa. Endeleeni kukaba kila kitu ila ukweli itabaki pale paleAngalia picha ulizoweka humu mwanzo zikiwemo za alamy stock photos au umechange gear hewani?
Hizo alamy stock ndio picha za Google Earth?
Kadanganye wanakibera wenzako?
Naona umeupload zingine za Google Map embu zizoom alafu uziupload tenaBadala umueleweshe mwenzako unaendelea kumpotosha mnaleta uploaded photos za google Search na alamy stock photos alafu mnasema ni Google Earth
![]()
imagine! 😂 😂Anaongea mambo ya uploading images to google earth???🤣🤣😂😂.. Aibu, Aibuu.!





I have uploaded so many photos here from Google Earth, google maps, normal camera photos and many others. So shida yako haswa ni nini? Google earth images show real time image of a particular place; they are not uploaded images as you imply here. So picha nilozoleta hapa za google earth ni images ambazo hata saa hii ukienda kwenye hizo maeneo, utapata yako hivyo hivyo vile google earth inazitoa ila nyinyi mnasemaga eti zimebolewa. Endeleeni kukaba kila kitu ila ukweli itabaki pale pale
Of course tunajua jinsi mnavyogopa aerial views. Kama nadanganya, hebu niletee picha za aerial views za mitaa zenu za kawaida (not rich neighbourhoods?) vile nilileta za eastlands two days ago. Am waitingNdo alivyo huyu, anapga pcha moja moja tuone kama kuna vijengo, wakat ss tunapga aerial view inaonesha kila kitu
Wewe kilaza where did I say alamy stock photos ni za google earth? 😂 😂 Don't you know what google earth images are?Endelea kuruka ruka,
Na kuwadanganya wanakibera wenzako kwa kusema picha za alamy stock photos ni za Google Earth
Huku ukichange gear hewani
Alafu mbona hujaedit Google Map uhamishe slums, bado nasubiria![]()
Select mojawapo ipambane na masaki...Of course it can't come anywhere near Karen, Muthaiga, Runda, Spring Valley Gigiri, Kyuna and the likes


usianzie katikati tafadhali maana nikiamua kukukomalia utafunga account yako ya JF.
Wewe kilaza where did I say alamy stock photos ni za google earth?![]()
Don't you know what google earth images are?
Is this an alamy stock photo?
View attachment 1217219
Wewe na wenzako wote milishawapa ruhusa ya kuleta picha za kibera as you always do kwa sababu mnajua hamna cha kutuonyeshaKuna mtu kakosa picha...😂😂😂Swimming pools na viti hata majumbani vipo....Una weka na parking lots😂😂😂😂 Uwezo wako wakufikili umeishia hapo...🤔🤔🤔
Masaki naipa tu Lavington... Hakuna haja ya kwenda mbaali sanaSelect mojawapo ipambane na masaki...
Kwa taarifa yako hakuna yakuweza


mkichange kidogo ni filters tu.
Wewe na wenzako wote milishawapa ruhusa ya kuleta picha za kibera as you always do kwa sababu mnajua hamna cha kutuonyesha
I can see those three blue towers in the background 😂 😂At least Kenya kuna slum na posh na average area. So this is 'middle class'? in dar??looks like a hugeass villageView attachment 1217187
#TUNATEKELEZA 👇👇👇Wewe na wenzako wote milishawapa ruhusa ya kuleta picha za kibera as you always do kwa sababu mnajua hamna cha kutuonyesha
#TUNATEKELEZA 👇👇👇