Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia picha ulizoweka humu mwanzo zikiwemo za alamy stock photos au umechange gear hewani?
Hizo alamy stock ndio picha za Google Earth?
Kadanganye wanakibera wenzako?
Naona umeupload zingine za Google Map embu zizoom alafu uziupload tena
I have told you am watching google earth images. How hard is it to understand simple things? You can't upload an image on Google earth. Hizo uploaded images unasema unajua mahali umetoa. The image below is from Google Earth showing current status of tandale. Is this an uploaded image?
View attachment 1217119
Badala umueleweshe mwenzako unaendelea kumpotosha mnaleta uploaded photos za google Search na alamy stock photos alafu mnasema ni Google Earth
Anaongea mambo ya uploading images to google earth???.. Aibu, Aibuu.!
 
Kwa hiyo hizo picha alizotuma ni za Google Earth ?
Hivi ni umekubali ndugu yako akudanganye au unamtetea kumfichia aibu?
Embu nenda Google Earth alafu angalia uone kama utaona hicho alichotuma,
Huyu huyu jamaa yako alisema juzi ile shule iliyovunjika chanzo ni natural calamity
Juzi tena nilituma Google Map ikionesha slums za Nairobi akaniambie eti kila mtu ana uwezo wa kuedit Google Map na kuandika chochote
Mimi nikampa assignment aende aedit atoe slums za Nairobi azihamishie Dar hakunijibu tena,
Kwa taarifa yenu hayo maeneo yalishachange kitambo Sana.
Baharia unatoa vichapo heavy sana. Huyu buda hapo alipo atakua anaugulia maumivu, na huwa anachelewaga kupona kinyama
 
Hajui, kuropoka majina tu aliyoyaskia mahali bila kuyaelewa...
Message sent..😂😂😂👇👇👇
IMG_20190927_014355.jpg
 
Imekuingia

Back
Top Bottom