Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekwambia onyesha hiyo mifi ulivyo unga kwa Smart TV kama nilivyo unga smart tv p
Nimemwambia akinionyesha na hama JF...[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nataka nione hiyo mifi inavyokuwa connected kwenye Smart TV[emoji23][emoji23][emoji23]
huyo mzee wa mifi ana mapepo[emoji23]
 
Wewe nayo kutumia kichwa kama kofia.....your ugly squalid uswazi city is not worth our time..ama unaishi kwa hizo nyumba za kale[emoji1787]
hakuna unalojua kuhusu hayo maeneo .......hizo eneo gari lolote linapita na kuna mitaa fresh kabisa .....ukiwa chini utabaki unatumbus macho.....
mkenya yeyote aliyefika dar na kutembea ndiyo huwa anaelewa vizuri hapo kupo na uzuri gani si wewe wa mapicha picha
 
Wakenya wamekariri mji majengo lazma yapangwe kwenye mstari. Basi waite na hii miji ya Italy kuwa ni slums.
hakuna unalojua kuhusu hayo maeneo .......hizo eneo gari lolote linapita na kuna mitaa fresh kabisa .....ukiwa chini utabaki unatumbus macho.....
mkenya yeyote aliyefika dar na kutembea ndiyo huwa anaelewa vizuri hapo kupo na uzuri gani si wewe wa mapicha picha
images-4.jpeg
Screenshot_20190922-155347_Opera~3.jpeg
Screenshot_20190922-155237_Opera~2.jpeg
images-5.jpeg
Screenshot_20190922-155504_Opera~3.jpeg


Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
inawezekana hata london mmeipita kwa kuwa na wingi wa hizo footbridge [emoji23][emoji23]ila hili jiji la dar si jiji la foot bridge mzee foot bridge haziwekwi kila sehemu ili mradi tu na huwa hatuna desturi ya kuwa na matumizi mabovu ya kifedha.... na isitoshe tupo vizuri kwa upande wa transiportation system kuliko nyinyi hivyo muwe wapole

kwanza foot bridge ni nini na imekuingizia sh.ngapi huko kenya hebu wacha ushamba...
Footbridges are meant for pedestrians when crossing busy roads to avoid unnecessary accidents. It's even funny how you call that natumizi mabaya ya fedha just because you don't have them there in uswazi. Saa zingine sio vizuri kuongea mambo yasiyo na mantiki kisa uzalendo, inatia huruma
 
[emoji108][emoji108]

KISUMU
Refurbished Kisumu Port attracts investors
Ships at the Kisumu Port. [Source/Kenya Ports Authority/Twitter]
8 hours ago, by Curtis Otieno
The refurbishment and revival of the Kisumu Port has already began bringing in benefits for the county, after the country of Belarus expressed interest in investing in the county.
Is there information that you would like Kenyans to know? Tell Hivisasa and we will share with the world. Click here to submit.
According to Belarus ambassador to Kenya Mr Dmitry Kuptel, Belarus has been attracted by Kisumu's promising economic growth.
Speaking on Saturday, Mr Kuptel said that investors from his country have been attracted by the revival of the port and the ongoing uplift of the entire city of Kisumu.
He added that they have identified the agricultural sector and heavy machinery manufacturing as the lucrative fields.
Consequently, he noted, his country will set up a tractors' assembling plant in Kisumu, which will as well produce boat spare parts and fishing gear.
“This plant, besides plugging the demand gap for machinery, will also produce associated hardware for fishing gear, boat spare parts and act as a crucial conduit for technology exchange between the partner countries,” said Mr Kuptel .
He spoke in the company of area Deputy Governor Mathews Owilli and officials from the Kenya National Chamber of Commerce.
On the side of the county leadership, Owilli pledged the county government's readiness to support the Belarus' initiative, adding that it will make Kisumu more lucrative to investors.
Mmeshafanya dredging hapo kisumu port kuongeza kina ili meli ziweze kufika? Na vipi oil jetty yake iko na mwaka na nusu bila kutumika ni hasara tu? Hadi zile pump mumeshabadili coz zilikuwa local and of poor standard.

Halafu Uganda hana hela ya kufinance jetty oil yake kwa Sasa. Yuko busy kushughulika na big issue EACOP. Hivyo hiyo kisumu port ni hasara nyingine ya kukurupukia miradi bila feasibility study. Na bado jetty oil hapo haina standard maana haijakidhi vigezo vya kimazingira msije tuchafulia ziwa Victoria kwa kuvujishia mafuta huko.
 
Footbridges are meant for pedestrians when crossing busy roads to avoid unnecessary accidents. It's even funny how you call that natumizi mabaya ya fedha just because you don't have them there in uswazi. Saa zingine sio vizuri kuongea mambo yasiyo na mantiki kisa uzalendo, inatia huruma
Zipo Manzese,Buguruni huku kote Uswazi. Dar barabara kubwa zina traffic lights almost every km so sehemu za kuvuka zipo karibu. Kama along brt every stop ina pedestrian crossing zone.
 
Back
Top Bottom