Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
IMG_20190922_191632.jpeg
 
Footbridges are meant for pedestrians when crossing busy roads to avoid unnecessary accidents. It's even funny how you call that natumizi mabaya ya fedha just because you don't have them there in uswazi. Saa zingine sio vizuri kuongea mambo yasiyo na mantiki kisa uzalendo, inatia huruma
endeleeni kujenga footbridge za kutosha nitawapa awards mzee...

maana unatamba na vitu vya kipuuzi amabvyo ni normal mzee,,,,sikusomi
 
Wakenya wanazidi kuzipenda Barabara za Bongo.
Mwingine alipita Nairobi-Arusha-Manyara-Dodoma.
Huyu wa leo ni Nairobi-Arusha-Kilimanjaro-Tanga-Pwani-Dar es salaam

Sema watu wawili tu walizipenda hivi sio kusema wakenya wote.
Jinga kabisa wewe.
 
mzee hayo maeneo ni noma kuliko hizo chaka za estate zenu .....tembelea siku ushuke chini uone. .....

usichanganyikiwe na hiyo picha ya juu
Of course ni bora as per Tanzanian standards. Those dream houses ni za hali ya juu
 
Na matumizi yake ni tofauti pia? Au device ndio tofauti?
Of course zote ziko na natumizi same ila those devices are not the same. Ni kama kusema eti laptop ni desktop na desktop ni laptop just because they are all computers. They might be computers yes but their functionalities are not the same. Get the difference
 
Zipo Manzese,Buguruni huku kote Uswazi. Dar barabara kubwa zina traffic lights almost every km so sehemu za kuvuka zipo karibu. Kama along brt e

There's no big city that doesn't have traffic lights so that's a very lame excuse you are using. Nairobi ziko mingi sana but we still have footbridges Aling our major and busy roads. Dar Huenda kuna footbridges but ziko chache. Ukihesabu vizuri am very sure hazifiki hata kumi.
 
endeleeni kujenga footbridge za kutosha nitawapa awards mzee...

maana unatamba na vitu vya kipuuzi amabvyo ni normal mzee,,,,sikusomi
Lazima tu ziwe za kipuuzi kwa sababu hamna. Mngekuwa mnazo za kutosha, mngeshafungua nyuzi hapa
 
Highway moja tu Nbo acha sonyo
Alokudanganya nani? Mwambie asikudanganye tena. There are footbridges on so many roads in Nairobi
1. Mombasa road
2. Jogoo road
3. Waiyaki Way
4. Outering Road
5. Thika road
6. Lang'ata Road
7. Ngong road
8. Juja Road
And so many others. Outering road alone has 11 of them
 
Back
Top Bottom