Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course zote ziko na natumizi same ila those devices are not the same. Ni kama kusema eti laptop ni desktop na desktop ni laptop just because they are all computers. They might be computers yes but their functionalities are not the same. Get the difference
Agreed.
 
How can you sell something that you are leasing?
mzee taarifa inaweza ikawa imeandikwa kuuzwa kwa ndege lakini ndani ya pazia ninkurudishwa kwa ndege....hivyo hapo hakuna cha kuuzwa kitu ni kurudishwa kwa kitu
 
Italy, Cyprus,Greece neio style zao hizo na hata mitaa mingine gari haipiti. Ila kusafi
wakenya akili hawana ngoja city yao iendelee zaidi wataelewa vipi miji mikubwa yapaswa kuwa...

maana hata london aerial view ukiichukua ni hivyo hivyo

sasa wanakuja na kanairobi kao wanafurahisha dunia kwakweli
 
Video zipo kibao tu za wakenya wakisifia barabara zetu, hata ukipitia comment za hizo videos utaelewa tunamaanisha nini.
hawa machokoraa wa humu hawajawahi kutembea nnje ya kenya ni huishia kutembea kwa picha tu....ila ni type ya mathare peopled n kibera
 
mzee taarifa inaweza ikawa imeandikwa kuuzwa kwa ndege lakini ndani ya pazia ninkurudishwa kwa ndege....hivyo hapo hakuna cha kuuzwa kitu ni kurudishwa kwa kitu
Because that is what you want to believe, stupid danganyikan
 
MOMBASA ROAD
toyo.jpg
maxresdefault (12).jpg
maxresdefault (10).jpg
K1A65131100x550.jpg
GatewayBusinessPark1.jpg
IMG00191024x683.jpg
287mcommercialofficetorentinmombasaroadkenya6340135557244888327.jpg
odcxjov5x1vqhy25d1d97bbd28f3.jpg
kfc1.jpg
images(28).jpg
000Par8100543.jpg
images(30).jpg
images(23).jpg
15big.jpg
DFuWgtdXkAYrPLm.jpg
olesereniaerialview.jpg
images(18).jpg
FetchImage (12).jpeg
images(15).jpg
images(14).jpg
 
Mtu anapost KFC restaurant jamani 🤣 🤣 anaona sijui Bongo hamna?
Wewe bongolala wacha ujinga. Who said am posting them because haziko Dar? When you post your three blue towers, does it mean there are no towers in Nairobi? I was posting several things found along Mombasa road. So I should not have posted KFC for what reasons? Hasira zako Peleka Mazense
 
Back
Top Bottom