Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Transfer of lease after failing to honor the debt!
Sasa selling imekuwa tena transfer of lease! Kweli mnasumbuka. wangeandika tu kenya is transferring lease of aircraft badala ya Kenya is selling. Mbona haya ni mambo mawili tofauti
 
hajui kama huku dar hata utoe offer gani ya wi-fi watu hawana hata habari wanaipotezea tu watu huwa hatuna mda wa kuganda na vitu za kipuuzi za free wi-fi ...
huwa hatuna mda wakupoteza wakati bandle zipo[emoji2][emoji2]
Wi-Fi unakuanga na offer? 😂 😂 😂
Kweli nyinyi vilaza. Huenda mnaongealea kitu msichokijua
 
Hawa ndio watu wanajaribu kujilinganisha nasi. Pambaneni na rika zenu Kampala na Kigali
Screenshot_20190921-111857.png
 
Back
Top Bottom