Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ubaya ni kwamba umerudia maneno yale yale. Hakuna kipya.

JNIA labda ingoje miaka kama kumi hivi ama hata kumi na tano ndio ianze kuwa na ndoto za kushindana na JKIA. Huwezi zaa mtoto leo then kesho yake aanze kuzungumza na kucheza na watoto wakubwa waliozaliwa mbele yake. That's not the law of nature. Kuna stages lazima mtu apitie na kulala maji iko na wakati wake kwa hivyo hapo mtangoja sana

Nilisema kwamba kwa hizo vitu zote uluzotaja, kitu Dar inazidi nayo Nairobi ni BRT pekee yake. Sector ya barabara tumewashinda mbali tena sana coz nyinyi ni juzi tu mmeanza kujenga barabara while Nairobi started doing so a decade ago and it's still doing so.

I listed a number of things Nairobi inazidi nayo Dar in my earlier post but you deliberately decided to give them a wide berth and instead you repeated the same things your colleague wrote which I had already countered
 
Hujafika JNIA ukaona vile ndege zinapishana pale a mini Heathrow brathe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hujafika JNIA ukaona vile ndege zinapishana pale a mini Heathrow brathe[emoji16][emoji16][emoji16]
Hizi superlatives zenu tumeyazoea. Hata Dar isiyokuwa na sewerage system mnasemanga ni New York. Sasa mumeanza story za Heathrow tena! 😂 😂 😂
Mungu awaonekanie
 
Hizi superlatives zenu tumeyazoea. Hata Dar isiyokuwa na sewerage system mnasemanga ni New York. Sasa mumeanza story za Heathrow tena! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu awaonekanie
Njoo Dar ushangae...usisahau kufika manzese bro
 
Daresalaam is just one mega informal settlement.......it depicts typical swahili village away from beachfront areas
Hizi superlatives zenu tumeyazoea. Hata Dar isiyokuwa na sewerage system mnasemanga ni New York. Sasa mumeanza story za Heathrow tena! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu awaonekanie
 

Av been teaching you Guys this Countless times that Tanzania Economy is not concentrated in Dar alone,
Apart from JKIA tell me where else in Kenya do people fly to International Destinations?

If you Go to JKIA you will see direct flights to Kilimanjaro as well as Zanzibar,
So far You can fly Amsterdam, Dubai, Doha, Adis, Abu dhabi, etcto Kilimanjaro direct thrice a week,
The Same to Zanzibar —-
This picture were taken by Me hapo JKIA


Meanwhile now I am at KIA and this is how it looks
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oh lord.......you've turned to comedy
Hujafika JNIA ukaona vile ndege zinapishana pale a mini Heathrow brathe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Eldoret flights are to international markets specializing in cargo exports
Moi international airport receives Qatar airways direct from all over the world.....


Wake up ...
 

Kilimanjaro International Airport, Busy than any Airport Hapo Kenya apart from JKIA.
Mind you these photos are taken now by me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…