babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,342
- 35,820
Waambie wakupe hivi vitu, usisumbuke nao,
Electric Train
Brt Transport
Boat transport
New and modern international Airport
New, Big and Modern Football Stadium
New and modern Bus stations
Halafu waseme wametuzidi nini cha ajabu Nairobi
We kaa tu hapo kibera huku wachina na wazungu waki-dominate nairobiAfadhali sisi tunafurahia maendeleo na uwekezaji. Juilize mbona haya majumba makubwa hayakujengwa Dar?
Nyie Tz on the other hand huwa mnafurahia vifo ,njaa na kuchinja albinos.
Waambie wakupe hivi vitu, usisumbuke nao,
Electric Train
Brt Transport
Boat transport
New and modern international Airport
New, Big and Modern Football Stadium
New and modern Bus stations
Halafu waseme wametuzidi nini cha ajabu Nairobi
Huyu mtu niwakumpuuza tu,Kwanza sikuwahi kujua Kama baadhi ya wakenya wanaishi maisha ya dhiki vile kupitia thread hii nimejua korokoncho,huruma,mathare,kibera aisee huwezi linganisha mwananyamala,tandale na kwingineko na maisha ya hizo slum Ni zaidi ya huruma.Dar ipo juu na itabaki kuwa juu hata kama wewe hutaki. Na neno lako sio sheria. Hapo Dar huishi peke yako huna cha kutuambia.
Wenzenu wakisema ukweli mnawasulubisha na kuwaita majina za kejeli. Hampendi sana kuambiwa ukweli nyinyi WatanzaniaKwa sababu unaichukia serikali ndio eti uongee uwongo kiasi hichi au kuna watu unawafaidisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ukweli ndio hamtaki kusikia. Watanzania Wenzenu wakisema ukweli wanamimiwa matusi na kubandikwa majina. Ukweli itadumu mileleYaani watu wa CHADEMA nyie kazi yenu ni kuponda kila kitu cha Tanzania sijui ndio siasa ya wapi hio.
Wenzenu wakisema ukweli mnawasulubisha na kuwaita majina za kejeli. Hampendi sana kuambiwa ukweli nyinyi Watanzania
Eti vinyeshi fresh! 😂 😂 😂 😂dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shame
There's some truth in it. I read somewhere that some sections of posta and kariakoo are not connected to sewer lineKwa sababu unaichukia serikali ndio eti uongee uwongo kiasi hichi au kuna watu unawafaidisha [emoji23][emoji23][emoji23]
There's some truth in it. I read somewhere that some sections of posta and kariakoo are not connected to sewer line
Acha umangulo, nani anachukia serikali na nchi, watu wanachukia matendo na sera mbaya,msitafute pahala pa kufichia ukurutu wenu, hakuna wa kuhama, nyie ndio mtapelekwa ICC NA THE HAGUE, punda weweAlafu Ukiwaambia wahame wakaishi pengine hawataki [emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni wajinga kiwango cha lami.
1. Electric train iko wapi? Is it operational?Waambie wakupe hivi vitu, usisumbuke nao,
Electric Train
Brt Transport
Boat transport
New and modern international Airport
New, Big and Modern Football Stadium
New and modern Bus stations
Halafu waseme wametuzidi nini cha ajabu Nairobi
Acha umangulo, nani anachukia serikali na nchi, watu wanachukia matendo na sera mbaya,msitafute pahala pa kufichia ukurutu wenu, hakuna wa kuhama, nyie ndio mtapelekwa ICC NA THE HAGUE, punda wewe
Ni uwongo Kwa sababu hutaki kusikia ukweli ikisemwaUkweli upi kaongea hapo [emoji23][emoji23][emoji23] siwezi sapoti uwongo mimi.
Ni uwongo Kwa sababu hutaki kusikia ukweli ikisemwa
I can bring you the link ujisomee mwenyewe ukitaka. only 10% of Dar is connected to the sewer line. Sehemu zingine zote ni "freestyle". Hiyo ripoti inasema kwamba hata baadhi ya maeneo kule CBD hazijakuwa connected to a central sewer system. A good number of your big hotels pia zinawachilia tu raw sewage ndani ya ocean. It's a sad state of affair. So what this guy is saying ni ukweli mtupuDo you know the meaning of truth and chuki?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuanze na WESTLAND VS MASAKI.Punda anamjua punda mwenzake [emoji23][emoji23][emoji23]
Unafanananisha kibera na mwananyamala ni akili au matope.
Tuanze na WESTLAND VS MASAKI.
HIGH RIDGE VS MSASANI
KAREN VS MBEZI BEACH
EASTLEEIGH VS KARIAKOO
DAr mtasubiri sana, mpaka huyo "mshamba" as per NAPPE , kinana na yusuph makamba aondoke.
ebola imeingia hawataki kukubali, mimi nimewaambia ndugu zangu huko wakapige chanjoTanzanians don't like being told that they are doing bad............