Aina ya mifumo ya maisha ya kikoloni wote tunajua ni aina gani baina ya nchi hizi mbili kwahiyo usitake kusema miaka hiyo hicho kilichomo NBO kilikuja kwa nguvu za wakenya, si kwelii
Ni mzungu ndiye aliyefanya hayo, ukizingatia mlikua kwenye ubepari na sisi tulikua kwenye ujamaa, kwahiyo mzungu hakua na nafasi kwenye ardhi ya Tanganyika
Mzungu alifanya settler economy, alifanya mambo yake huku na yeye akiishi hapohapo NBO
NBO mmejengewa na mzungu, mlichobahatika kuwa nacho ninyi ni Prism Tower, Thika Rd, Southern Bypass, Britam and the likes
Hata hiyo Kibera ni urithi mtakatifu kutoka kwa mzungu pia, kwahiyo mzungu amewafanyia vitu vingi sana mnatakiwa mumshukuru kwa kila aina ya goti