komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,549
- 5,646
Heheeee!!huwezi bishana na ukweli
100m from nairobi CBD
100m from nairobi CBD
View attachment 1208533
Africa bado sana,tuache tambo,usafiri huu ulitumiwa enzi za Yesu Kristo according to Bible haya si maigizo baada ya miaka kadhaa ya uhuru ni kweli yanatokea barabara hazipitiki misimu yote,kuna wanadamu hupoteza uhai wao katikati ya safari huenda tungeweza kunusuru maisha yao.Usafiri wa punda leo?!!!!!!! Aibu.
View attachment 1208533
Africa bado sana,tuache tambo,usafiri huu ulitumiwa enzi za Yesu Kristo according to Bible haya si maigizo baada ya miaka kadhaa ya uhuru ni kweli yanatokea barabara hazipitiki misimu yote,kuna wanadamu hupoteza uhai wao katikati ya safari huenda tungeweza kunusuru maisha yao.Usafiri wa punda leo?!!!!!!! Aibu.
The Distance from Dar es Salaam's many slums to the CBD is even shorter than similar cases for Nairobi.From Tandale slums to the CBD is just 4KM.From Manzese to CBD is 2.6KMHeheeee!!huwezi bishana na ukweliView attachment 1209438
habari ya hili jengo ilivuma sana kipindi cha JK, vip hiv bado lipo na mbona kama silijui 🥵 .. ni hotel au nn
mwenye uelewa aeleze kidogo kuhusu hili jengo, habari yake niliisikia sana ila mpka sasa sijui mwisho ilikuwa nn
Huo uongo unamfaidisha nani haswaThe Distance from Dar es Salaam's many slums to the CBD is even shorter than similar cases for Nairobi.From Tandale slums to the CBD is just 4KM.From Manzese to CBD is 2.6KM
Bwaaaaa!!! Kumbe hii issue ya kibera ni kweli mimi nilijua ni utani tuHeheeee!!huwezi bishana na ukweliView attachment 1209438
Sijakataa likiwa na matumizi zaidi kama museum pia ila majengo yabaki kama yalivyo! Hamna kujenga zaidi bali maintenance na restoration. Ila kumbuka hata JPM akienda Dodoma, atakuwa anakuja Dar kila mara tena kumbuka kuna JK Hall mle ndani!Tatizo ni kuwa, jiji linakua kwa kasi na tayari eneo hilo a few yards away kuna ghorofa lenye floor 18, pembeni kidogo BOT towers. Hilo eneo sio safe tayari na ikulu ikiamia Dodoma, sio kwamba eti hilo jengo litasaulika. Likigeuzwa kuwa museum, historia yake itatunzwa kuliko kuwa "presedential lodge" ambapo rais atakuwa anakaa mara 5 kwa mwaka.
This place is so beutiful! lakini JK hall si ipo nje au ni mimi ndo nakosea? Nilikuwa na picha yake, ngoja niitafuteSijakataa likiwa na matumizi zaidi kama museum pia ila majengo yabaki kama yalivyo! Hamna kujenga zaidi bali maintenance na restoration. Ila kumbuka hata JPM akienda Dodoma, atakuwa anakuja Dar kila mara tena kumbuka kuna JK Hall mle ndani!
Even 7kms is not that far,the slum is near the CBDHeheeee!!huwezi bishana na ukweliView attachment 1209438
Even 7kms is not that far,the slum is near the CBD
Hiv Una camera aina gani.nikanunue hiyoJengo Kwa sasa wanakaa viongozi wengi wa serikali na maeneo mengine watu wa kawaida. Kuna majudge, hadi msigwa wa ofisi wa Rais anakaa hapo. Niliwahi panda juu kule nikatungua mipicha nikala kona, Ulinzi sio sana wiki hiyo Ila kuna siku nilikua floor ya kumi Na kitu pale juu kuna mwenyeji alisema huwa watu wanakuja kama wakiona kuna kitu suspicious. Mi huwa sielekezi Camera upande ule wa Ikulu hata siku moja .
😂 😂Mi huwa sielekezi Camera upande ule wa Ikulu hata siku moja .
I trapped you boyHeheeeee!!kwhyo si 100m tena
noma sanaNoma sana