Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Ulikuwa unataka iitwe Mwananyamala? Nyinyi ni wajinga sana. Na ile Oyster Bay yenu ni jina ya kinyamwezi?hiyo jina tu inaashiria hasogei mwenye kipilipili kichwani hapo![]()
Ulikuwa unataka iitwe Mwananyamala? Nyinyi ni wajinga sana. Na ile Oyster Bay yenu ni jina ya kinyamwezi?hiyo jina tu inaashiria hasogei mwenye kipilipili kichwani hapo![]()
Ha ha ha usilie broUlikuwa unataka iitwe Mwananyamala? Nyinyi ni wajinga sana. Na ile Oyster Bay yenu ni jina ya kinyamwezi?
oysterbay ni tarafa mzee.wachaa povuUlikuwa unataka iitwe Mwananyamala? Nyinyi ni wajinga sana. Na ile Oyster Bay yenu ni jina ya kinyamwezi?
Source?Idadi ya middle class kwa nchi kumi Africa
Nilidhan Kenya wanatuzidi kwa watu milioni kadhaa tu kumbe Ni makelele tu
Hasa ukizingatia tupo 56M ke wanafika 52M View attachment 1207225
Tarafa ndio nini? Ama hiyo bado ni kinyamwezi?oysterbay ni tarafa mzee.wachaa povu
huku si kama huko na masikini wapo obay.
Kamdanganye nyanya yako! hizi screenshots za satellite map umetoa somewhere in upstate New York au kwenye surrounding states kama NJ, PA na CT. Mtu mwenyewe hujawahi kufika New York halafu kisa leo una simu ya kukuonyesha map unajifanya mjuaji. Tuulize sisi tuliokaa huko kabla hujajiaibisha. New York city haipo hivyo. Watu wengi NYC wanaishi kwenye apartments, town houses, lofts au pent house. Hizo bushes utazikuta central park and it's not a bad thing, ila uwe na ushahidi unaoeleweka. Hizi picha ni sawa na mimi ningeleta screenshots za google maps za Pugu au Kisarawe halafu niseme ndio DarKuna baadhi ya Watanzania husema Nairobi ni vichaka. Well, this is New York (residential areas). "Vichaka" za New York zinavutia kweli
View attachment 1207697View attachment 1207698View attachment 1207699View attachment 1207700
Kamdanganye nyanya yako! hizi screenshots za satellite map umetoa somewhere in upstate New York au kwenye surrounding states kama NJ, PA na CT. Mtu mwenyewe hujawahi kufika New York halafu kisa leo una simu ya kukuonyesha map unajifanya mjuaji. Tuulize sisi tuliokaa huko kabla hujajiaibisha. New York city haipo hivyo. Watu wengi NYC wanaishi kwenye apartments, town houses, lofts au pent house. Hizo bushes utazikuta central park and it's not a bad thing, ila uwe na ushahidi unaoeleweka. Hizi picha ni sawa na mimi ningeleta screenshots za google maps za Pugu au Kisarawe halafu niseme ndio Dar
I have said a million times kwamba wewe ni mtu anayependa sifa za kijinga sana. Kuishi kwako NY inahusiana aje na watu wa JF? Kijana, this is a very simple post that doesn't need all that ranting about where you've been to, nobody is interested in knowing that. So imefika mahali watu sasa wanatangaza nchi wamewahi ishi!! Well, I think am different. Even if I went to the moon, I won't go telling anonymous people on the internet about itKamdanganye nyanya yako! hizi screenshots za satellite map umetoa somewhere in upstate New York au kwenye surrounding states kama NJ, PA na CT. Mtu mwenyewe hujawahi kufika New York halafu kisa leo una simu ya kukuonyesha map unajifanya mjuaji. Tuulize sisi tuliokaa huko kabla hujajiaibisha. New York city haipo hivyo. Watu wengi NYC wanaishi kwenye apartments, town houses, lofts au pent house. Hizo bushes utazikuta central park and it's not a bad thing, ila uwe na ushahidi unaoeleweka. Hizi picha ni sawa na mimi ningeleta screenshots za google maps za Pugu au Kisarawe halafu niseme ndio Dar
Na Rais akija Dar afikie hotelini sio? Ikulu is a landmark building for our nation with significant importance. Therefore I don't support any changes on its use including its gardens.My suggestion is, Ikulu ikihamia Dodoma, naomba Mungu wabadilishe hilo jengo kuwa either museum au city hall. Halafu golf course pembeni iwe city park, barabara ya Barack Obama drive miaka ijayo iendelee halafu iunganishwe na undersea tunnel ifike hadi kigamboni badala ya daraja. Kwasababu eneo la hapo kivukoni halitapitiwa na daraja, wanaweza kuweka kivutio kwenye waterfront kama Ferris wheel ambapo tutapata views za Kigamboni International financial district 😍 😍 na baadae, wanaweza kufanya waterfront development kisutu, kama kujenga shops, bars, restaurants, public spaces etc. Dar will be superb! we just need moneyyyyyyyyyy.
Wewe na wenzio humu si ndio unapondaga wabongo kuwa hawajawahi kutoka manzese na tandale?! Sasa inakuwaje mtu akisema kakaa New York ni issue?! Ukisema kitu ambacho sio kweli kuhusu London, New York au Dar utajibiwa kuwa hivyo sio kweli na utapewa facts kwasababu anaekupa facts anakazia kwa kukwambia kakaa huko ujue anachoongea kakiona au kukiishi. BTW huku TZ mtu kusema kakaa wapi sio issue kabisa.I have said a million times kwamba wewe ni mtu anayependa sifa za kijinga sana. Kuishi kwako NY inahusiana aje na watu wa JF? Kijana, this is a very simple post that doesn't need all that ranting about where you've been to, nobody is interested in knowing that. So imefika mahali watu sasa wanatangaza nchi wamewahi ishi!! Well, I think am different. Even if I went to the moon, I won't go telling anonymous people on the internet about it
Back to your whining about that post above. New York City is not a very big city in size (it is actually smaller than Dar). So do you expect everybody (8 million people) to live strictly within the boundaries of New York City considering its smaller area? There are many New Yorkers who live outside the boundaries of the city BUT still within the state (the state of New York). Wewe kama ulibahatika ukaenda US and made Harlem your home living in a dark apartment block ukisukuma maisha pole sana
"Upstate New York" Sasa kama unajua watu wanaweza ishi upstate New York and not necessarily within the confines of New York City boundaries mbona inanisusumbua na maneno? Take the case of Nairobi for example. The city has outstretched its boundaries to include the neighbouring counties forming one big metropolis. The biggest mall in east Africa, Two Rivers, is actually in Kiambu county which is part of Nairobi metropolis. A small section of JKIA land is in machakos county. I can give you so many such examples. So a person who lives within the peripheries of New York city (what you've called Upsate above) still considers himself a New Yorker. As far as I know it, Upstate is part of New York Metropolitan area
HahaahahaaaaaaTunawapumulia kichogoni hakuna sehemu mutatoka salama kwa sasatourism tumewafyeka, logistic tunawapumulia, airline tumewakalisha kuti kavu
kwenye medical tumewalaza chali, ukija kwenye ufisadi na rushwatunawanyea kichwani, food security ndio hata haisemeki sijui nani aliwalaani ukija kwenye security wise sijui wapi mulikwama
ukirudi kwenye slums mpaka mzungu anawaogopa alijua kibera ni national park
![]()
There are always costs! if you leave a big building like that empty all year while you use money to light it up, pay people to clean it up, water the gardens around it, and pay security to keep it safe then you might just as well turn the building into an income generating source. You know what's even better? it will still remain as a prominent landmark! fair enough?Na Rais akija Dar afikie hotelini sio? Ikulu is a landmark building for our nation with significant importance. Therefore I don't support any changes on its use including its gardens.
Huyo Nikki huwa anakwepa maswali yangu kila wakati. Mimi nimeshamzoea.Hahahaahhahahahahahaaaahaaa dah kaka yani lengo lako la kuelezea kuwa umeishi US ni kwaajili ya uthibitisho lakn umefikiriwa vingine kuwa ww arrogant,then umeuliza kingine umejibiwa kingine daaaaah!!!!
It can act as a state lodge instead of change of use. In kenya, there are state lodges in Mombasa and kisumuThere are always costs! if you leave a big building like that empty all year while you use money to light it up, pay people to clean it up, water the gardens around it, and pay security to keep it safe then you might just as well make the building as an income source. Yo know what's even better?it will still remain as a prominent landmark! fair enough?
Ni swali gani hapo nimekwepa jamani? You've even confirmed that some people live in Upsate and still consider themselves New York residents.Huyo Nikki huwa anakwepa maswali yangu kila wakati. Mimi nimeshamzoea.