Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Could be another big Project .

IMG_2590.JPG

IMG_2589.JPG
 
Tatizo ni kuwa, jiji linakua kwa kasi na tayari eneo hilo a few yards away kuna ghorofa lenye floor 18,

Lile jengo la pale mtaa wa Chimara lilijengwa kimakosa wakati wa awamu zilizopita, hata wakati Obama alipozuru Tanzania maafisa wake walishauri ghorofa za juu ziwe chini ya serikali kwaajili ya usalama.
pembeni kidogo BOT towers. Hilo eneo sio safe tayari na ikulu ikiamia Dodoma, sio kwamba eti hilo jengo litasaulika. Likigeuzwa kuwa museum, historia yake itatunzwa kuliko kuwa "presedential lodge" ambapo rais atakuwa anakaa mara 5 kwa mwaka.
Ikulu ile ni ya kihistoria, iliwahi kuchomwa moto na waingereza wakati wa WWI na eneo la juu kujengwa upya. Hivyo haitapendeza historia hiyo kupotea. Pili hayo majengo ya BOT ni ya serekali hivyo haina tatizo.

Eneo lote lile la viwanja vya ikulu kuanzia hospitali ya iliyokuwa ya wazazi (sasa ocean road cancer institute) vinatakiwa vibaki hivyo hivyo kama kumbukumbu kama walivyofanya kwenye jengo la bunge la zamani (Karimjee hall).

Sehemu ambayo inatakiwa ifanywe park ni viwanja vya gymkhana kwa kuwa ni eneo kubwa lililobaki wazi jijini, zamani kulikuwa na viwanja vya baskekball pale (timu ya pazi) ila wakaviondoa na kujenga hoteli ya Sheraton (Serena).

Pia kulikuwa na sehemu za watoto (mabembeani) pale karibu na mnara wa saa na nyuma ya hotel continental nako pia park hizo waliziondoa. Mnazi mmoja napo ilikuwa sehemu nzuri ya kupumzikia wakaja kuzuia watu wasiende na pale fukwe za posta ya zamani nako ilikuwa sehemu ya kwenda kujiachia nako pia wakaweka uzio. Manji nae akataka kuichukua Oysterbay beach (coco), da! jamani sio kila kitu uwekezaji, hata New York waliacha central park ili watu wapumzike na kufurahia nature.
 
Lile jengo la pale mtaa wa Chimara lilijengwa kimakosa wakati wa awamu zilizopita, hata wakati Obama alipozuru Tanzania maafisa wake walishauri ghorofa za juu ziwe chini ya serikali kwaajili ya usalama.

Ikulu ile ni ya kihistoria, iliwahi kuchomwa moto na waingereza wakati wa WWI na eneo la juu kujengwa upya. Hivyo haitapendeza historia hiyo kupotea. Pili hayo majengo ya BOT ni ya serekali hivyo haina tatizo.

Eneo lote lile la viwanja vya ikulu kuanzia hospitali ya iliyokuwa ya wazazi (sasa ocean road cancer institute) vinatakiwa vibaki hivyo hivyo kama kumbukumbu kama walivyofanya kwenye jengo la bunge la zamani (Karimjee hall).

Sehemu ambayo inatakiwa ifanywe park ni viwanja vya gymkhana kwa kuwa ni eneo kubwa lililobaki wazi jijini, zamani kulikuwa na viwanja vya baskekball pale (timu ya pazi) ila wakaviondoa na kujenga hoteli ya Sheraton (Serena).

Pia kulikuwa na sehemu za watoto (mabembeani) pale karibu na mnara wa saa na nyuma ya hotel continental nako pia park hizo waliziondoa. Mnazi mmoja napo ilikuwa sehemu nzuri ya kupumzikia wakaja kuzuia watu wasiende na pale fukwe za posta ya zamani nako ilikuwa sehemu ya kwenda kujiachia nako pia wakaweka uzio. Manji nae akataka kuichukua Oysterbay beach (coco), da! jamani sio kila kitu uwekezaji, hata New York waliacha central park ili watu wapumzike na kufurahia nature.
Mimi sina pingamizi kabisa na hilo eneo kutunzwa ila sikubaliani na jengo hilo kuwa presidential lodge. Ni sawa na kupoteza umuhimu wa hilo jengo kabisa yaani leo rais anafanya kazi na kukaa ikulu ila akiondoka mtaona patakavyokuwa! ila hilo jengo likikarabatiwa na kuwa kivutio ambacho watu watakuwa wanatembelea na kutoa pesa kuingia halafu bustani zake za paembeni zikatunzwa vizuri basi uhai wa eneo hilo na hisoria yake utatunzwa vizuri tu. Wakijenga presidental lodge somewhere secluded au any undisclosed location uptown itakuwa poa sana sio hilo eneo la sasa kwa kweli. Snipers watachekelea sana wakipewa dirty work yoyote kufanya kama rais anaishi hapo maana hata Washington DC penyewe kuna law ya tangu 1899 ya limit ya urefu majengo na ninashangaa Kikwete sijui alikuwa anafikiri nini kuruhusu ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na ikulu.
 
Mimi sina pingamizi kabisa na hilo eneo kutunzwa ila sikubaliani na jengo hilo kuwa presidential lodge. Ni sawa na kupoteza umuhimu wa hilo jengo kabisa yaani leo rais anafanya kazi na kukaa ikulu ila akiondoka mtaona patakavyokuwa! ila hilo jengo likikarabatiwa na kuwa kivutio ambacho watu watakuwa wanatembelea na kutoa pesa kuingia halafu bustani zake za paembeni zikatunzwa vizuri basi uhai wa eneo hilo na hisoria yake utatunzwa vizuri tu. Wakijenga presidental lodge somewhere secluded au any undisclosed location uptown itakuwa poa sana sio hilo eneo la sasa kwa kweli.

Mbona maeneo hayo yamekuwa yakitunzwa vizuri miaka yote, hata tausi hamna anayewabuguthi? Huko kutembelea Ikulu sio lazima watu waingie mjengoni. Zamani kulikuwa na wanyama pori kama twiga na faru na watu walikuwa wakienda kuwaangalia kwa uhuru kama vile watu wanavyopiga picha kwa uhuru pembeni mwa White house.

Snipers watachekelea sana wakipewa dirty work yoyote kufanya kama rais anaishi hapo maana hata Washington DC penyewe kuna law ya tangu 1899 ya limit ya urefu majengo na ninashangaa Kikwete sijui alikuwa anafikiri nini kuruhusu ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na ikulu.
Serikali iliyopita ilikuwa ya hovyo sana kuruhusu ujenzi wa jengo lile ila hatari kubwa iliyopo kwa Ikulu ipo upande wa baharini, makaburu waliwahi kuja na nyambizi mpaka salender bridge na kulipua kipindi cha Nyerere.
 
Back
Top Bottom