Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
hao ndiyo wakenya bhana wakija aja kelele kibao za nairobi....wacha nicheke tuView attachment 1208533
Africa bado sana,tuache tambo,usafiri huu ulitumiwa enzi za Yesu Kristo according to Bible haya si maigizo baada ya miaka kadhaa ya uhuru ni kweli yanatokea barabara hazipitiki misimu yote,kuna wanadamu hupoteza uhai wao katikati ya safari huenda tungeweza kunusuru maisha yao.Usafiri wa punda leo?!!!!!!! Aibu.



Hahahahhahahahhahahaahahaha daah bro we ni **** aisee.View attachment 1208533
Africa bado sana,tuache tambo,usafiri huu ulitumiwa enzi za Yesu Kristo according to Bible haya si maigizo baada ya miaka kadhaa ya uhuru ni kweli yanatokea barabara hazipitiki misimu yote,kuna wanadamu hupoteza uhai wao katikati ya safari huenda tungeweza kunusuru maisha yao.Usafiri wa punda leo?!!!!!!! Aibu.
Watz ilo eneo atutaki libaki na ikulu hata wode Maya alipokujs tz nilikuwa na wasiwasi sana na pifapita zake mjini maana hapo watu kupigwa risasi ni kitu cha kawaida hakunaga hata kesi hivyo pakibaki kuwa ikulu pataendelea kuwa chini ya sharia ya maeneo yenye ulinzi wa hatari ukiuliwa hapo hakuna kesiOpen up ur horizon over 80% ya openspaces Dar zilivamiwa na kubinafsishwa kwa kuendekeza fikra za namna yako! Ikulu ibaki katika mikono ya serikali na isitumike kibiashara. Uelewa wako wa significance ya ile sehemu ni mdogo! Sikulaumu!
Open up ur horizon over 80% ya openspaces Dar zilivamiwa na kubinafsishwa kwa kuendekeza fikra za namna yako! Ikulu ibaki katika mikono ya serikali na isitumike kibiashara. Uelewa wako wa significance ya ile sehemu ni mdogo! Sikulaumu!
Vitabu vya uhuru vilisainiwa jengo lile!Nakubaliana na wewe kama, binafsi nilishtuka sana kusikia JPM anasema ataiuza IKULU ya Dar akiamia Dodoma. Regardless ya security measures za eneo lile, bado naamini Rais akiamia Dodoma kupitisha barabara eneo lile kuunganisha na Kigamboni kwa either daraja au underwater tunnel inawezekana na bado Ikulu yetu ikawa salama ikiwa ni pamoja na kupreserve jengo na historia yake.
Watanzania na nani?Watz ilo eneo atutaki libaki na ikulu hata wode Maya alipokujs tz nilikuwa na wasiwasi sana na pifapita zake mjini maana hapo watu kupigwa risasi ni kitu cha kawaida hakunaga hata kesi hivyo pakibaki kuwa ikulu pataendelea kuwa chini ya sharia ya maeneo yenye ulinzi wa hatari ukiuliwa hapo hakuna kesi
Acha ubishi ilo eneo alipaswi kuwa na ikulu tumia akili ikulu kuwa cbd kama hapo ni kosa ijengwe mall ya kisasa ya serikali Na kupewa jina la Ikulu mall ndani pawe na mambo ya utalii Na historia ya kumbukumbu mbalimbali hii italifanya kuwa sehemu inayo tembelewa na watz wengi na wageni pawe ni city tour center ,namuomba mueshimiwa raisi afanye hivyo tena harakaWatanzania na nani?
Halifai in reference to where?Acha ubishi ilo eneo alipaswi kuwa na ikulu tumia akili ikulu kuwa cbd kama hapo ni kosa ijengwe mall ya kisasa ya serikali Na kupewa jina la Ikulu mall ndani pawe na mambo ya utalii Na historia ya kumbukumbu mbalimbali hii italifanya kuwa sehemu inayo tembelewa na watz wengi na wageni pawe ni city tour center ,namuomba mueshimiwa raisi afanye hivyo tena haraka
Tatizo ni kuwa, jiji linakua kwa kasi na tayari eneo hilo a few yards away kuna ghorofa lenye floor 18, pembeni kidogo BOT towers. Hilo eneo sio safe tayari na ikulu ikiamia Dodoma, sio kwamba eti hilo jengo litasaulika. Likigeuzwa kuwa museum, historia yake itatunzwa kuliko kuwa "presedential lodge" ambapo rais atakuwa anakaa mara 5 kwa mwaka.Halifai in reference to where?
Hahah dongo kwa majirani zetu waache mbwembwe safari bado ni ndefu....punda anatumika karne hii ya ishirini na moja?!Hahahahhahahahhahahaahahaha daah bro we ni **** aisee.
Ulikua una mantiki ipi kuleta hiii kitu???
wazee Wa old stone age....Hahah dongo kwa majirani zetu waache mbwembwe safari bado ni ndefu....punda anatumika karne hii ya ishirini na moja?!
![]()
Picture of donkey hearse breaks Kenyans’ hearts
News,Gossip,Sports and Entertainment from Nairobi.nairobinews.nation.co.ke


We don't take them as wazungu,they are tourists,it doesn't matter whether they are whites or notfunny how we worship wazungus visiting our countries to see animals......would they post africans visiting their countries?...
funny how we worship wazungus visiting our countries to see animals......would they post africans visiting their countries?...