Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatiyo hiyo ikulu IPO eneo tatanishi cbd sasa imekua kama trap fulani ukiwa unatembea tembea mjini kujikuta upo chini ya ulinzi ni kawaida wengine wanataka kutalii mjini sasa ukikosea njia tu matatizo hivyo ni busara hiyo Ikulu ijengwe sehemu nyingine dar hapo ilipo patumike Kibiashara pajengwe mall kubwa kuliko zote tz na mahoteli kubwa pamoja na park
Hapana Ikulu ibaki hata kama itakuwa museum majengo yabaki hayohayo! Tembea uone mzee kila nchi ina iconic cum historic zake! Huwezi kuzi-erase like that kama ni hivyo UK majengo mengi ya kifalme yasingekuwapo! Ikulu, Ocean road hospital na zile mahakama magogoni will stay! Hayo unayotaka kufanya yanaweza kufanywa Kigamboni!
 
Tatizo ni kufikiri towers ndo zitapendezesha eneo linalopendeza lilivyo sasa! Mimi nitapenda likibaki kama lilivyo! Lina historia kubwa ya nchi hii! Nyumba ya George Washington na Ikulu ya kwanza ya US zote bado zipo!
Simaanishi liondoke, ila waruhusu uwekezaji maeneo ya karibu na ili kuepusha hofu ya ulinzi wa raisi anapokuja dar wajenge sehemu ingine atayoitumia wakati akiwa dar. Ili sehemu za karibu na vilevile ufukweni kuwe na shughuli za uwekezaji
 
Progress on the Bridge and CRDB HQ .

IMG_2575.JPG

IMG_2576.JPG

IMG_2577.JPG

IMG_2578.JPG

IMG_2579.JPG
 
Hapana Ikulu ibaki hata kama itakuwa museum majengo yabaki hayohayo! Tembea uone mzee kila nchi ina iconic cum historic zake! Huwezi kuzi-erase like that kama ni hivyo UK majengo mengi ya kifalme yasingekuwapo! Ikulu, Ocean road hospital na zile mahakama magogoni will stay! Hayo unayotaka kufanya yanaweza kufanywa Kigamboni!
Sasa pakijengwa mall ndaniyake pawe na mambo ya ukumbusho wa ikulu na utalii ,utamaduni pia pafanywe kuwa central ya city tour pia hiyo mall ipewe jina la IKULU MALL
 
Sasa pakijengwa mall ndaniyake pawe na mambo ya ukumbusho wa ikulu na utalii ,utamaduni pia pafanywe kuwa central ya city tour pia hiyo mall ipewe jina la IKULU MALL
Open up ur horizon over 80% ya openspaces Dar zilivamiwa na kubinafsishwa kwa kuendekeza fikra za namna yako! Ikulu ibaki katika mikono ya serikali na isitumike kibiashara. Uelewa wako wa significance ya ile sehemu ni mdogo! Sikulaumu!
 
Invest in photography bro uko poa sana na usihofie kwenda kwny motion pictures pia,unaeza ukaanza na vtu short short, ishi ndoto zako sky's the limit, angles,positioning,details,lights and shades control...ndani ya limited equipments I salute you.

Thank you Bro.
 
Back
Top Bottom