Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
BRT Phase nyingine ipo mbioni
aya sasa kama nawaona vile wazee wa estateBRT Phase nyingine ipo mbioni
Hii ni kweli kabisaView attachment 1206661Kama ni kweli habari njema kwetu.Kazi kazi Acacia chali.
Haya cheki ya dar hii hapa hata ulaya tunaanza kuipa tabu ,sasa wakenya wekeni ya nai ndege ikipita juu yake utaona nai ilivyo ndogo hapo ndege imepita wilaya ya ILALA PEKE YAKE DAR INA WILAYA 3We kenge hiyo picha iko planned kwani huoni? Lete Dar is slum tufananishe usijifariji 70% ya Dar is the continuous mega slum fishing village
BRT Phase nyingine ipo mbioni
Haya cheki ya dar hii hapa hata ulaya tunaanza kuipa tabu ,sasa wakenya wekeni ya nai ndege ikipita juu yake utaona nai ilivyo ndogo hapo ndege imepita wilaya ya ILALA PEKE YAKE DAR INA WILAYA 3
siyo poa mzee hao huwa hawana akili wanadhani dar yote ipo unplanned ,,ni hiko ni kipisi tu cha darHaya cheki ya dar hii hapa hata ulaya tunaanza kuipa tabu ,sasa wakenya wekeni ya nai ndege ikipita juu yake utaona nai ilivyo ndogo hapo ndege imepita wilaya ya ILALA PEKE YAKE DAR INA WILAYA 3
ukimaliza hapo unakutana na pori lao la akiba wanafuga anakonda na ngamiaHawawezi maana 100m from CBD kuna the biggest slum in Africa.






ukimaliza hapo unakutana na pori lao la akiba wanafuga anakonda na ngamia![]()
Ndiyi maana wanakibera wanaishi kama wanyama.ukimaliza hapo unakutana na pori lao la akiba wanafuga anakonda na ngamia![]()
Walikuwa wanajadili kuhusu tall buildings na sio planning,usipende kudandia train kwa mbele,ni hatari!We kenge hiyo picha iko planned kwani huoni? Lete Dar is slum tufananishe usijifariji 70% ya Dar is the continuous mega slum fishing village
Huyu magu inabidi aongezewe hata miaka 10 mingine,huyu mzee ni mwamba japo alinitumbua kwenye kitengo changu lakini simchukii, namkubal tuView attachment 1206661Kama ni kweli habari njema kwetu.Kazi kazi Acacia chali.
Infrastructure as mbukinya says
Baada ya diesel train yao juu ya SGR, Kenya imebakiwa na jiji kubwa moja Nairobi tu. Na jiji linaloporomoka kuwa ghost city Mombasa.wanajifanyaga wako juu hawajui kama tz tuna majiji matano wakat wao wana mawili tu mana hata hiyo kisumu ni kama manispaa ya moshi
Jamani hakuna kipisi cha ardhi tz ambacho hakijapgwa lami hadi uko maporini, in infrastructure hakuna nchi apa africa mashariki inayoipiku Tz, wakenya kibao wamethibitisha hilo, wageni kibao wameongea kama wazambia ndo usiseme, tourists kibao wanasifia miundombinu nje ya dar ni mizur kinyama. Nashangaa majirani wajisifia madaraja ya nairob ambayo sis ndo tunamalizia interchange ya ubungo na flyover za kule jkt soon na sisi tutakua nazo, BRT phase 2, SGR ya umeme phase1 and 2, maproject ya estates zanzibar, kigamboni na arusha, mpango wa kukuza ubungo as dar second biggest town after posta tukimaliza ile interchange, listand la station ya sgr zinaunganishwa na brt kinatolewa kitu watu hawajawahi ona africa mradi wa umeme ambao utakua mkubwa east africa, na kupendezesha fukwe kutoka coco beach adi sarenda tukianza na ule mdaraja wa kucross bahar ***** kumbukeni sijataja vitu vya on paper hapo hzo ni project ambazo zipo on action dah jaman Tz mwaka 2021-22 sjui tutakuaje ndugu zangu