Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unazingua wew kuna miji mikubwa mingi tu na haina skyline kubwa miundombinu kwanza then investment za majengo zianze ata hvyo it doesnt mean tutachil tu bila kujenga, majengo yatashushwa tu
Wanajenga majengo marefu halafu watu kwenda kufanya kazi kwenye majengo hayo wanapanda matatu.
 
Na your dad kama unabisha onyesha new tall building being U/C
Hilo apo, 35 floors na pemben ake ni 33 floors
Screenshot_2019-09-13-15-18-22.jpeg
 
hawa washkaji wanahisi kama tunajiweka juu yao kumbe wala hatuna shida bali ni wao wanaona jinsi dar inavyowaka adi wanahisi its a threat. Majengo marefu ya private yanajengwa kule moroko victoria to makumbusho nmeskia ndo new cbd, huku posta majengo marefu hayaruhusiwi zaidi ya majengo ya serikali tu kwasababu ya ikulu, ambayo iko kati ya mji. Majengo marefu posta yatajaa ikulu ikitolewa pale city center kwenda dodoma,
Wanajenga majengo marefu halafu watu kwenda kufanya kazi kwenye majengo hayo wanapanda matatu.
 
hawa washkaji wanahisi kama tunajiweka juu yao kumbe wala hatuna shida bali ni wao wanaona jinsi dar inavyowaka adi wanahisi its a threat. Majengo marefu ya private yanajengwa kule moroko victoria to makumbusho nmeskia ndo new cbd, huku posta majengo marefu hayaruhusiwi zaidi ya majengo ya serikali tu kwasababu ya ikulu, ambayo iko kati ya mji. Majengo marefu posta yatajaa ikulu ikitolewa pale city center kwenda dodoma,
Ikulu haizuii majengo marefu CBD ni pale tu unapojenga ndani ya eneo lilikatazwa ambapo CBD ipo mbali hata ikiulu ikihamia Dodoma bado katazo litabaki maana ile Ikulu itabaki!
 
hawa washkaji wanahisi kama tunajiweka juu yao kumbe wala hatuna shida bali ni wao wanaona jinsi dar inavyowaka adi wanahisi its a threat. Majengo marefu ya private yanajengwa kule moroko victoria to makumbusho nmeskia ndo new cbd, huku posta majengo marefu hayaruhusiwi zaidi ya majengo ya serikali tu kwasababu ya ikulu, ambayo iko kati ya mji. Majengo marefu posta yatajaa ikulu ikitolewa pale city center kwenda dodoma,
My suggestion is, Ikulu ikihamia Dodoma, naomba Mungu wabadilishe hilo jengo kuwa either museum au city hall. Halafu golf course pembeni iwe city park, barabara ya Barack Obama drive miaka ijayo iendelee halafu iunganishwe na undersea tunnel ifike hadi kigamboni badala ya daraja. Kwasababu eneo la hapo kivukoni halitapitiwa na daraja, wanaweza kuweka kivutio kwenye waterfront kama Ferris wheel ambapo tutapata views za Kigamboni International financial district 😍 😍 na baadae, wanaweza kufanya waterfront development kisutu, kama kujenga shops, bars, restaurants, public spaces etc. Dar will be superb! we just need moneyyyyyyyyyy.
 
Badala ya kujenga interchange unazungumzia flyover,na huko upcountry towns kama Mbeya wajenge nini? Dar should have world class interchange hamuoni Nairobi? Poor you
Interchange is more than 1 flyover kwenye intersecrion sijui wana plan gan ..hta kma ni tunnel frsh tu
 
nifungue uelewa kidogo, JKT ipo sehem gan kwenye hio barabara?
Ukitoka Uhasibu kama unatoka Mbagala next kituo ni Wokovu af panafata hapo JKT ( ilipo shule ya sekondari Jitegemee ) kuna round about inaelekea Keko kupitia DUCE so ile road ita stretch kutokea VETA ambapo according to tulivoambiwa kutakua na flyover pamoja na pale Uhasibu

So from there VETA traffic lights itaongoza hadi Karume, Boma, Msimbazi, Kigogo hadi kukutana na mwendokasi Magomeni pale

Af kumbuka DUCE kutakua na feeder station as well as Kwa Azizi na Mission
 
Jkt pale jitegemee ndo nlichomaanisha kwenda changome kuja kawawa road mpka magomeni ..na nyngne itaenda posta na gerezani
 
Ukitoka Uhasibu kama unatoka Mbagala next kituo ni Wokovu af panafata hapo JKT ( ilipo shule ya sekondari Jitegemee ) kuna round about inaelekea Keko kupitia DUCE so ile road ita stretch kutokea VETA ambapo according to tulivoambiwa kutakua na flyover pamoja na pale Uhasibu

So from there VETA traffic lights itaongoza hadi Karume, Boma, Msimbazi, Kigogo hadi kukutana na mwendokasi Magomeni pale

Af kumbuka DUCE kutakua na feeder station as well as Kwa Azizi na Mission
Alfu nafikiria kuwa flyovers zitakuwa ni pedestrian ila ngoja tuone
 
Back
Top Bottom