Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Grants kama kawa [emoji23]
Umeona hii ?
IMG_20190910_143714.jpg
 
tanzanians kweli mko idle.......i am not surprised why you are amongst the poorest in the world
 
Hyo ni Grant kwa Chuo Cha DIT sio Goverment of TZ na hio ICT Academy ni for all EA countries sema head quaters ziko Tz ..i hope umesoma hio link...

Cha pili its better kupokea grant ya ICT kuliko nyie mnapokea chakula kutoka uarabuni Ikulu
Sina time ya kusoma vitu za LDC[emoji23]
 
Daaah aseee.
Ungejua basi wengine sisi wafanya biashara tu kaz tumewapa watu wazifanye.
Asa mm nifanye kaz yann eti???
Halafu mm ni mjasiriamali ambae bado anasoma.
It means nipo likizo ya chuo kikuu cha afya wacha nijiachie.Likizo ikiisha nikirudi chuo mambo yatawa mengi hamnion humu ww km umeajiriwa mpendwa fanya kaz za watu wasije kula dodo hilo unalipwa halafu kaz hufanyi.

Halafu mpendwa mm nipo sawa chama cha siasa na nataka kujiandikisha kuwa mwanachama wa siasa lakn sio CCM na wala sipo hapa kuitrol Kenya.
Nyie mwapenda kuanzisha trolling lakin mkizidiwa mnakimbilia kusema Sisi makada wa CCM tumelipwa tuje kuwachefua.
Usikute Magufuli hatta hajui kuhusu JF.
Achen kumpakazia urongo mzee wa watu na CCM ya watu mpendwa Yesu anakuona.
Watu kama wewe wanoingia mitandaoni na kutangazia dunia zile Kazi wanafanya ni walalahoi wasiokua na mbele wala nyuma. I have just told you am working, it doesn't matter the kind of job I do coz it's none of your business. Whether nimeajiriwa ama ninafanya biashara zangu isiwe hoja kwako. Just know that I earn my money and probably more than you do coz you don't have the slightest idea of who I am.

From my little experience here on jf, you people (I mean Tanzanians) have the tendency of telling us what you do for a living, the countries you've visited and how much you earn. Do we really care? Walker255 did this so much thinking it's cool. Well, it isn't. It just shows how much a person can be stupid to start boasting to people he doesn't even know and don't know him as well. It's called inferiority complex just in case you didn't know. We use dummy accounts and dummy names in here. That should tell you that you should not reveal yourself to us on a personal level. Mbona uingie mitandaoni uanze kutangazia watu how much you are successful?? Watu ambao hata hawakujui? Keep your success or failures to yourself coz it doesn't concern us one bit. Successful people do not even talk about their success stories, they let the story speak for itself
 
Hizi insha(essays) ndeeeeefu mno. Jitahidi kuweka summary. Unaandika kwa hasira kama vile stupid mwenye degrees tatu.
 
Ile kurasa tatu ya kujisifu aliyoandika Mwenzako hukiona? Yani a grown man coming to tell us, people he doesn't even know, how much he's successful in life! Kwa hivyo kila mtu hapa jf aanze kusema how much they are worth? Ujinga ulioje!
 
Back
Top Bottom