Hahahahahhahahahahahahahah Daaah kaka we jamaa kabila gani ????!!!!!ni kama istabul death empire
wakenya wananiomba niwe mkikuyu.......Hahahahahhahahahahahahahah Daaah kaka we jamaa kabila gani ????!!!!!
Daahh JF sitoki inanipunguzia uchovu mwingi kwa kucheka.
Hahahaah daaadh kweli aisee hii JF.wakenya wananiomba niwe mkikuyu.......
nikiingia DM yangu hawa wakora wananiomba eti nibadilishe uraia nilipowaona mapimbi eti wanataka wanipe banda kibera ....hapo ndipo niliwagunfua kuwa wanaakili za kunguni
Mnazificha hizo zingine,kumbe kibera ina wababe wake 2 hapo nairoberry!Ebu name izo zingine
Kunyaland
Unafikiri mimi ni kama wewe unayelipwa Na sisiemu kutrol wakenya hapa ndani? Wengine wetu tuko na kazi za kufanya, sio kushinda humu ndani usiku na mchanaAhaaa mpendwa upo????
Nilidhani umelala maana usiku mnene huu.
Nyie hamna railway station mna utumbo wa kuku.
Subirieni sisi tukamilishe na tukarabati zetu muone kazi.
🤣🤣🤣🤣 hio dar ni kubwa mara tatu ya nairobi alaf mtu anakuja hapa anaongea upuuziMaeneo kama haya usiwaoneshe wakenya, waache waamini dar ni posta na uswazi peke ake.