Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeongea maneno mazuri lakini umejawa dharau sana.
Ni kweli sikujui hunijui.
Na wala hufaham mm ni nan na sifaham ww ni nan.
Kuna brief expression na kuna arrogance.
Rafiki yangu mm nimeleta brief experession na wala sijaleta arrogance kujitangaza kwa watu.
Kwasababu hata nikifanikiwa huwez jua na hata nisipofanikiwa huwez jua.
Hujui Biashara nayofanya ila Nimekwambia tu shortly nafanya Biashara,hujui nasomea faculty ipi ya afya ila nimekudokeza tu,hujui naingiza shingap ktk harakat zangu za kiuchumi na hujui next plan zangu hujui.
Halafu acha dharau kusema kuwa kila anayekaa mitandaoni yeye ni mlala hoi.
Acha hzo mambo.
Nimekupa brief experession ila hakuna chochote unachojua kuhusu mm.
Ndio maana nikakwambia km ww utakua umeajiriwa basi fanya kaz za watu.
Sijakuambia kuwa ww umeajiriwa directly na wala hakuna nilipojigamba wala kuleta arrogance kuwa am more than you.
Utajuaje mshahara wako unazid mapato ya Biashara zangu???.

UMESHINDWA KUELEWA NN NAZUNGUMZIA NA UMEENDA MBALI SANAAA.
DHARAU ACHA KUITA WENZAKO MAFUKARA KISA WANAKAA MUDA MREFU MTANDAON ACHA SAWA MAMAA????
HUNIJUI SIKUJUI.
BASI NAOMBA UNIELEZEE WAPI NIMEKUTAJIA KUHUSU MAISHA YANGU NA WAPI NIMEJITANGAZA???
BIASHARA GAN NAFANYA???
SHINGAP NAINGIZA????
FACULTY IPI YA AFYA NASOMEA????
NITAJIE KUHUSU HAYO KM MM NIMEJITANGAZA.

Sikushangai ulifananishaga unplanned settlemnts na slums.
Akili za broiler kabbisa wewe.
Watu kama wewe wanoingia mitandaoni na kutangazia dunia zile Kazi wanafanya ni walalahoi wasiokua na mbele wala nyuma. I have just told you am working, it doesn't matter the kind of job I do coz it's none of your business. Whether nimeajiriwa ama ninafanya biashara zangu isiwe hoja kwako. Just know that I earn my money and probably more than you do coz you don't have the slightest idea of who I am.

From my little experience here on jf, you people (I mean Tanzanians) have the tendency of telling us what you do for a living, the countries you've visited and how much you earn. Do we really care? Walker255 did this so much thinking it's cool. Well, it isn't. It just shows how much a person can be stupid to start boasting to people he doesn't even know and don't know him as well. It's called inferiority complex just in case you didn't know. We use dummy accounts and dummy names in here. That should tell you that you should not reveal yourself to us on a personal level. Mbona uingie mitandaoni uanze kutangazia watu how much you are successful?? Watu ambao hata hawakujui? Keep your success or failures to yourself coz it doesn't concern us one bit. Successful people do not even talk about their success stories, they let the story speak for itself
 
We ndiyo mjinga.
Hiyo kurasa ht moja inajaa??
Halafu mtu umepewa brief experession hujaelezewa how successful I am.
Je utajuaje mm mfanyabiashara wa uchuuzi km machinga???
Utajuaje labda mfanyabiashara wa mazao km small scale farmer???
Yote hayo huyajui nimekupa tu brief experession lakin umeenda mbaaaliiiiiii.
Hahahahahh we dada nimeamini una akili ndogo sana halafu upeo wako wa kufikiri mdogo.
Poor you.
Ile kurasa tatu ya kujisifu aliyoandika Mwenzako hukiona? Yani a grown man coming to tell us, people he doesn't even know, how much he's successful in life! Kwa hivyo kila mtu hapa jf aanze kusema how much they are worth? Ujinga ulioje!
 
Bro, huyu dada sijui kaka namfaham, hatumii akili hata kdogo.Anapayuka halafu maskin ukitizama nilichokielezea na alivyoni quote ni vtu mbili tofauti.
Ukitaka kujua huyu zwazwa wa Kikenya nimempa maswali anithibitishie wapi nimejitangaza.
We subiri uone upang'ang'a mwingine atakaoujibu hapa.
Hizi insha(essays) ndeeeeefu mno. Jitahidi kuweka summary. Unaandika kwa hasira kama vile stupid mwenye degrees tatu.
 
Hyo ni Grant kwa Chuo Cha DIT sio Goverment of TZ na hio ICT Academy ni for all EA countries sema head quaters ziko Tz ..i hope umesoma hio link...

Cha pili its better kupokea grant ya ICT kuliko nyie mnapokea chakula kutoka uarabuni Ikulu
ha haaa kaka wahurumie
 
Umeongea maneno mazuri lakini umejawa dharau sana.
Ni kweli sikujui hunijui.
Na wala hufaham mm ni nan na sifaham ww ni nan.
Kuna brief expression na kuna arrogance.
Rafiki yangu mm nimeleta brief experession na wala sijaleta arrogance kujitangaza kwa watu.
Kwasababu hata nikifanikiwa huwez jua na hata nisipofanikiwa huwez jua.
Hujui Biashara nayofanya ila Nimekwambia tu shortly nafanya Biashara,hujui nasomea faculty ipi ya afya ila nimekudokeza tu,hujui naingiza shingap ktk harakat zangu za kiuchumi na hujui next plan zangu hujui.
Halafu acha dharau kusema kuwa kila anayekaa mitandaoni yeye ni mlala hoi.
Acha hzo mambo.
Nimekupa brief experession ila hakuna chochote unachojua kuhusu mm.
Ndio maana nikakwambia km ww utakua umeajiriwa basi fanya kaz za watu.
Sijakuambia kuwa ww umeajiriwa directly na wala hakuna nilipojigamba wala kuleta arrogance kuwa am more than you.
Utajuaje mshahara wako unazid mapato ya Biashara zangu???.

UMESHINDWA KUELEWA NN NAZUNGUMZIA NA UMEENDA MBALI SANAAA.
DHARAU ACHA KUITA WENZAKO MAFUKARA KISA WANAKAA MUDA MREFU MTANDAON ACHA SAWA MAMAA????
HUNIJUI SIKUJUI.
BASI NAOMBA UNIELEZEE WAPI NIMEKUTAJIA KUHUSU MAISHA YANGU NA WAPI NIMEJITANGAZA???
BIASHARA GAN NAFANYA???
SHINGAP NAINGIZA????
FACULTY IPI YA AFYA NASOMEA????
NITAJIE KUHUSU HAYO KM MM NIMEJITANGAZA.

Sikushangai ulifananishaga unplanned settlemnts na slums.
Listen young man/woman (sorry I don't know your gender) am too mature for this stupid talk. Am not the kind of a person to start telling people so much about my life, especially people that I don't even know like you and any other forumer here, Kenyans included. Unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kwa sababu unaniuliza ni wapi umenitajia kuhusu maisha yako unasahau kwamba ulitaja kuhusu masomo yako na hata kazi pia. Free piece of advice though: Soma zaidi ya mahali umefika saa hii. Maybe you'll be clever enough to start reasoning like someone who really went to school; someone who doesn't make noise about his "success" on social media to people that he doesn't even know and are not even interested in knowing him
 
Watu kama wewe wanoingia mitandaoni na kutangazia dunia zile Kazi wanafanya ni walalahoi wasiokua na mbele wala nyuma. I have just told you am working, it doesn't matter the kind of job I do coz it's none of your business. Whether nimeajiriwa ama ninafanya biashara zangu isiwe hoja kwako. Just know that I earn my money and probably more than you do coz you don't have the slightest idea of who I am.

From my little experience here on jf, you people (I mean Tanzanians) have the tendency of telling us what you do for a living, the countries you've visited and how much you earn. Do we really care? Walker255 did this so much thinking it's cool. Well, it isn't. It just shows how much a person can be stupid to start boasting to people he doesn't even know and don't know him as well. It's called inferiority complex just in case you didn't know. We use dummy accounts and dummy names in here. That should tell you that you should not reveal yourself to us on a personal level. Mbona uingie mitandaoni uanze kutangazia watu how much you are successful?? Watu ambao hata hawakujui? Keep your success or failures to yourself coz it doesn't concern us one bit. Successful people do not even talk about their success stories, they let the story speak for itself
mzee gazeti lako inafaa ulipeleke citizen tv
 
tanzanians kweli mko idle.......i am not surprised why you are amongst the poorest in the world
We are poor but not crying for hunger, you on other hand are developed, you are so developed in way that you are on the same league with UK, USA, Japan and China but always crying for food. Always. Dont come to a LDC asking for food keep asking that to china
 
Ile kurasa tatu ya kujisifu aliyoandika Mwenzako hukiona? Yani a grown man coming to tell us, people he doesn't even know, how much he's successful in life! Kwa hivyo kila mtu hapa jf aanze kusema how much they are worth? Ujinga ulioje!
Punguza kukurupuka. Kabla huja post fikiria kwanza kama essay yako inafaa kwa public consumption.
La sivyo utaonekana kituko mbele ya kadamnasi.
 
Bro, huyu dada sijui kaka namfaham, hatumii akili hata kdogo.Anapayuka halafu maskin ukitizama nilichokielezea na alivyoni quote ni vtu mbili tofauti.
Ukitaka kujua huyu zwazwa wa Kikenya nimempa maswali anithibitishie wapi nimejitangaza.
We subiri uone upang'ang'a mwingine atakaoujibu hapa.
Wengine humu ni mchele mchele wanasumbua sana. Vichwa vyao havisomi vizuri. Harufu chafu ya kibera imechakaza sehemu ya oblongata.

Tuwapeleke ndogo mdogo maana bacterias wanaosubua bongo zao ni ugonjwa mkali mno, mwisho wa siku watapona. Si unajua tena hawa ni wadogo zetu.
 
Punguza kukurupuka. Kabla huja post fikiria kwanza kama essay yako inafaa kwa public consumption.
La sivyo utaonekana kituko mbele ya kadamnasi.
Kwanza sahihisha hii insha ya "msomi" na "mfanyibiashara" mahiri mwenzenu. Ukimaliza ndo urudi
Screenshot_20190910-193004.png
Screenshot_20190910-193018.png
 
Nimekwambia ww hutumii akili we huna akili sijui hiyo maturity umeitolea wapi???
Kaka Venus star njoo uone utumbo mwingine aloandika huyu mwanamama.
Nimekuambia tofautisha brief expression na arrogance.
Arrogant ni yule anayetaja kuhusu sifa zake za maisha kwa kujitapa kwa watu anataja hadi hela anazopata huku akileta kejeli.
Mimi hakuna mahali nimejitangaza bali nimetoa brief expression kuhusu mm ndio maana Nimekwambia kuwa nafanya Biashara ila sijakutajia Biashara nayofanya wala shingap Naingiza,nimekuambia nasomea masuala ya afya sijakutajia nachukua ngaz ipi km degree ama masters na wala sijakutajia nasomea faculty ipi,sijakutajia kiasi cha pesaa nachoingiza wala sijakutajia mali nazomiliki wala sijakutajia next move zangu naomba UNIELEZEE wapi nimeonesha arrogance?????

Ndio maana nikakuuliza;
1)Wap nimekutajia kipato changu??
2)Je nimekutajia Biashara nayoifanya??
3)Je nimekutajia assets nazomiliki???

Umeshindwa kujibu kwasababu sikujitapa kukuelezea hayo yote.
ILI NISIONESHE ARROGANCE NA KUONEKANA KUWA MM ARROGANT KUMBE SIPO HVYO NIMEELEZEA KWA UPENDO TU NA KWA NIA NJEMA NIKAKUPA BRIEF EXPRESSION YANGU.
Sijui unaelewa tofauti kati ya hvyo vitu viwili???

Shule ulienda kusoma au kucheza wewe???
Tumia akili hakuna sehem nilojitapa na kutamba kwa watu bali nimetoa brief expression.
Usiponielewa hapa ww ni mshari km wakenya mlivyo washari.
DUUUH KWA HII SMALL CASE KM HII UMEELEZEWA MENGINE UNALETA MENGINE HOW CAN YOU CALL YOURSELF A MATURED LADY??!!!!
POLE SANA.
Listen young man/woman (sorry I don't know your gender) am too mature for this stupid talk. Am not the kind of a person to start telling people so much about my life, especially people that I don't even know like you and any other forumer here, Kenyans included. Unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kwa sababu unaniuliza ni wapi umenitajia kuhusu maisha yako unasahau kwamba ulitaja kuhusu masomo yako na hata kazi pia. Free piece of advice though: Soma zaidi ya mahali umefika saa hii. Maybe you'll be clever enough to start reasoning like someone who really went to school; someone who doesn't make noise about his "success" on social media to people that he doesn't even know and are not even interested in knowing him
 
Bro soma nilichom quote Halafu fananisha na nadharia yake then angalia majibu alokuja nayo.
Wakenya wana shida tupu aisee wamekaa kisharishari daaah yan majibu yake ushostito mtupu .
Punguza kukurupuka. Kabla huja post fikiria kwanza kama essay yako inafaa kwa public consumption.
La sivyo utaonekana kituko mbele ya kadamnasi.
 
Ww jamaa Yesu anakuona Unachekesha sana.
Hiv haujui km unajiumbua???
Angalia nadharia uloleta halafu tafakari na nadharia nilokuelezea mm.
Hv je vinafanana???!!!!
Omba Mungu watoto wako wasichukue akili zako aisee za negative thinking kila wakati.
Nishajua akili zako siwez endelea bishana na ww BYE.
Kwanza sahihisha hii insha ya "msomi" na "mfanyibiashara" mahiri mwenzenu. Ukimaliza ndo urudi
View attachment 1203801View attachment 1203802
 
Back
Top Bottom