Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona mnashindwa kulisha wananchi wenu [emoji23][emoji23][emoji23]

Si hizo pia zitakuja kupata seizure nchi zingine sababu ya madeni ya Tz?

Hahaha ,Tzed ni nchi ya "pesa zetu za ndani" yet when you look they have only $4bn as foreign exchange reserves.Linganisha na za Kenya $9bn forex reserves.
 
We punga wa kikenya sisi tumelinganisha metre gauge railway stations.
Ndio maana jamaa alileta ya TAZARA ikaonekana inalingana na station yenu ya SGR.
Asa km sisi tuna mgr stations nzuri hiv weka tafakur tukikamilisha SGR stations zake zitakuaje???
No wapi amesema hiyo ni ya SGR? soma vizuri alichokiandika. Mbona mnapigwa chenga na kizungu rahisi hivi?
 
Sasa mbona mnashindwa kulisha wananchi wenu [emoji23][emoji23][emoji23]


Afadhali nife kwa sababu ya njaa badala nikufe sababu nimeuliwa na wananchi wenzangu sababu mimi ni albino ati wafanye uchawi.Hiyo ndio Tanzania nchi ya unyama na kukosa utu.
 
Downtown Dar
1568047482626.png
1568047529901.png
 
No wapi amesema hiyo ni ya SGR? soma vizuri alichokiandika. Mbona mnapigwa chenga na kizungu rahisi hivi?
Ahaaa mpendwa upo????
Nilidhani umelala maana usiku mnene huu.
Nyie hamna railway station mna utumbo wa kuku.
Subirieni sisi tukamilishe na tukarabati zetu muone kazi.
 
Sasa hvi air tanzania ina ndege 9 ukijumlisha na hzo nne inakua 13 hakuna cha loan au leasing deal hapo[emoji122][emoji122][emoji122]

as of July,2019

just for good correction! hii ndo data kamili (i might be corrected too)

so hapa tunaona order zipo ndege 5, na ndege 3 zitakuja mwaka huu.. October na November

Other news ni kwamba baadae Dash 8-Q300 itakuwa replaced na Q400
IMG_1568053863.223501.jpg
 
Back
Top Bottom