Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani, Avic Town is a very small housing project consisting of just 150 housing units in one of the furthest ends of Dar and is the first gated community in Dar. That's not even a quarter of Nyayo estate for example. Ni mradi mdogo sana, unless it was expanded in subsequent phases
Kwa vile huijui dar basi gated community kwako unaona Ni kitu kikubwa sana
 
Unaelewa nimemaanisha nn kuuliza hilo swali??? Halafu kuwa na adabu matako yako ww unapoelekezana na mtu.
Mm nimezungumzia kuwa population doesn't matter ukinitolea mfano wa India nakutolea mfano wa China ina approximately 2 billion people na ina good life standards ingawa GDP yake ime rise mpk $14 trillions.

Hyo GDP inahusiana nn na life standards ???%
Huduma bora za afya,maji safi na salama n.k n.k.
Mm nimekusudia kulenga sera nzuri ziwekwazo ktk nchi mpk inafikia nchi kuwa na maisha ridhishi licha ya watu kuwa wengi mathalan China.

India na utajiri wake wote ila haina sera nzuri zilizo nufaishi kwa wananchi wake.
Pengine utaelewa nn nilikua nalenga.
Sio unakuja unaropokwa tu hapa fala mmoja.
You simply lack the slightest understanding of the relationship between Gdp, population, Gdp per capita, HDI and their connection to standard of living. I simply choose not argue with you coz I'll look stupid teaching someone with no will or objectivity to understand. Simple advice, read an economics book. It will save you a lot of embarrassing arguments.
 
AVIC Dar wana estate kubwa tuu na ya kisasa Kigamboni kule kwahiyo sidhani kama wangeweza kujenga projects kubwa mbili kwa wakati mmoja....

You've AVIC towers then we've AVIC estate
That's AVIC African headquarters.Not "just towers".
 
New bagamoyo road
Screenshot_2019-09-01-11-32-52-1.jpg
 
Me nakubali kwa Malls mko mbali na kusema kwamba ni kigezo au kiashiria cha kua na watu wa kipato cha kati wengi naweza kubali pia

Ila watu wenu wenye kipato cha kati ni wachache sana kiasi kwamba kuna gap kubwa baina ya walio nacho na wasionacho, yaan kama mtu tajiri au ni wa kipato cha kati ni tajiri kweli na kama mtu maskini basi ni maskini kwelii

Tofauti na kwetu TZ we've no such a huge gap btn those middle income and lower ones
Thus ukienda sehem kama Manzese na Tandale ambako wanaishi wa kipato cha chini utakutana na njemba za middle income wamejenga mijengo ya maana katikati ya hizo nyumba mnazoziita slum nyie nyang'au

Ila ukienda Kibera au Mathare hukuti nyumba tofauti zaidi ya mabati, ni umaskini kwenda mbele
Well said,I agree with you
 
Thus ukienda sehem kama Manzese na

Tandale ambako wanaishi wa kipato cha chini utakutana na njemba za middle income wamejenga mijengo ya maana katikati ya hizo nyumba mnazoziita slum nyie nyang'au

Ila ukienda Kibera au Mathare hukuti nyumba tofauti zaidi ya mabati, ni umaskini kwenda mbele
Umeongea bila kuwa na uelewa wa mambo na hasira pia kwa namna fulani. Kenya has the biggest middle-class of all the three East African nations and figures are there to prove this so unaposema wenye wako na kipato cha kati ni wachache hujui unachosema.

The gap between the rich and the poor is not a problem confined only to Kenya, hata Tanzania ipo tena kwa kiasi kikubwa so wacha kuongea kwa ushabiki. Naona umesema Mazense na tandale watu wamejenga nyumba za maana. Well, maybe in Tanzanian standards, hizo ni nyumba za maana so I don't want to go deeper into that.
 
Lakini vitu kama hivi huwezi ona Tanzania, acha kujitetea ujinga kubali tu japo ni ngumu [emoji23][emoji23][emoji23]

Umeongea bila kuwa na uelewa wa mambo na hasira pia kwa namna fulani. Kenya has the biggest middle-class of all the three East African nations and figures are there to prove this so unaposema wenye wako na kipato cha kati ni wachache hujui unachosema.

The gap between the rich and the poor is not a problem confined only to Kenya, hata Tanzania ipo tena kwa kiasi kikubwa so wacha kuongea kwa ushabiki. Naona umesema Mazense na tandale watu wamejenga nyumba za maana. Well, maybe in Tanzanian standards, hizo ni nyumba za maana so I don't want to go deeper into that.
 
Kwa vile huijui dar basi gated community kwako unaona Ni kitu kikubwa sana
Ni kubwa coz it's a new concept in Dar. It's now that you are embracing gated communities. As an ujamaa country, am surprised bado hamna gated communities. I thought ujamaa is about togetherness. Kumbe ni maneno matupu tu
 
Back
Top Bottom