Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So hiyo ni slum ndani ya Nairobi ila hii hapa ni middle income estate ya Dar [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aliyewaroga alikufa kitambo sana
View attachment 11980135
Embu zoom hzo pic halafu uone kuna nyumba za mabati km kwenu???!!!!
Kuna mwenzio nilimletea pic zilizokuwa zoomed za manzese nikamuonesha hakuna nyumba ya mabati km kariobangi nataka uzoom then upafananishe na kariobangi.
 
Ukimuambia azoom ndo unamfukuza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Embu zoom hzo pic halafu uone kuna nyumba za mabati km kwenu???!!!!
Kuna mwenzio nilimletea pic zilizokuwa zoomed za manzese nikamuonesha hakuna nyumba ya mabati km kariobangi nataka uzoom then upafananishe na kariobangi.
 
Huu muda unaoutumia kulazimisha Dar kuna slum ungeutumia kufanya mambo ya msingi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona imekuuma sana huyo dada kusema Nairobi ina slum zaidi ya 20.
Soma hiyo picha uliyopost line ya juu kwenye "according, wakumbafu kama ww ndio mtaji wa jubilee.

Mambo ya msingi kama kujinasua kutoka kwenye tope la LDC 😂 😂
 
We ni kilaza.
UN wenyewe wanakwambia hakuna slums Tanzania.
Kila wanapotoa takwimu hawaiweki Tz kuwa ina slums ila Kenya wanaiweka the leading.
Inamaana UN nao wanamilikiwa na CCM???
Give me the UN link that says so. Hapa watu wanadhibitisha wanachosema
 
Angalia chart hyo kwanza hyo ni 2014 leta current news sio past news.
Halafu hyo asilimia ilikua ikipungua siku hadi siku ilhali ya. KENYA IKIONGEZEKA DAILY TOKA 56% KUJA JUU.
Mmsema hamna slums. Iweje tena zibapungua??? 😂 😂 Ama ni nini inapungua?
 
Mjinga ni wewe na familia yako yote. Kuna kitu inaitwa population estimate.You can't know the EXACT number of people in a given area but you can use proven methods to get an estimated number of people in a given area, census being one of them. So in this case, the population of USA is estimated to be 300 million people with a margin error of +(plus) or - (negative) something. Usijafanye unajua wakati hakuna unachojua hata moja.
.
Sasa kumbe unajua kuwa ni estimations ndo hutumika,mbona wamkosoa mwenzio??
Mtu anayeweka hivi "100s mill people" na anayeweka "300+ mill people" hawana utofauti..wala hakuna wa kumkosoa mwenzake wote wanafanya approximations..
 
Yeah hiyo statement ni kweli,mbona ni rahisi tu kuielewa,unakwama wapi
1.urban population living in slums is referred as the population live in unplanned settlements
2.urban population living in unplanned settlements is not referred as the population live in slums...
Let me simplify for you
They tried to explain to those with pumpkin heads that
Not every "unplanned settlements" are slums but all "slums" are unplanned settlements
Wow!!! A bongalala screaming at the top of his voice trying so hard to make sense, but never realizes that he is eating his own poo 💩. Did you reread your own words?
Take a minute and try to understand what you wrote here coz it's plain to me that you are writing with a lot of emotions

Not every "unplanned settlements" are slums but all "slums" are unplanned settlements

So it basically means that what you sugarcoat as unplanned settlements are just slums, at least according to your own words above
 
1. Electric sgr
2. Airport terminal construction and airport constructions
3. Multiple port expansion projects
4. Multi billion dollar Hydroelectric power project
5. Massive, ultramodern Health facilities
6. Roads, highways, flyovers, interchanges
7. BRT Phase 2
8. Bridges (kigogo-busisi, Tanzanite bridge, River Wami bridge)
9. Aircraft purchasing for our national carrier(oh, just so you know, two more are coming by the end of this year)
10. We are driving you nuts.
show me any of this?
 
Wow!!! A bongalala screaming at the top of his voice trying so hard to make sense, but never realizes that he is eating his own poo [emoji90]. Did you reread your own words?
Take a minute and try to understand what you wrote here coz it's plain to me that you are writing with a lot of emotions

Not every "unplanned settlements" are slums but all "slums" are unplanned settlements

So it basically means that what you sugarcoat as unplanned settlements are just slums, at least according to your own words above
Hutumii akili pang'ang'a wewe.
Not every unplanned settlemnts are slums but slums can also be caused by unplanned settlemnts.
 
Mmsema hamna slums. Iweje tena zibapungua??? [emoji23] [emoji23] Ama ni nini inapungua?
Mm nazungumzia kuanzia 2014 asilimia zilikua zikipungua mpk kufikia sasa tushateketeza slums.
Unaelewa mamaa ama wajisomea tu!???
 
Give me the UN link that says so. Hapa watu wanadhibitisha wanachosema
Mambo mengine hayahitajigi ubishi kule juu ndan ya thread hii hii nilibishana na Kennedy tukayazungumzia haya siwez rudia nilichokithibitisha huku ni kuchoshana
 
Nicxie wachana na hao wasee......just visit dar ujionee the mother of uglies.....
They really wish for the day that glorified fishing village will reach the level of Nairobi. They built some three blue towers and a brt that runs through uswazi and now they think they can stand in front of the most important city in this region. They'll play the catch-up game for a very long time
 
That was Kennedy, not me. Maybe that conversation bypassed me. You can't flip through every page on this thread. If you have the lion, I'll be happy to have a look at it
Mambo mengine hayahitajigi ubishi kule juu ndan ya thread hii hii nilibishana na Kennedy tukayazungumzia haya siwez rudia nilichokithibitisha huku ni kuchoshana
 
Ugly Nairobi buildings ndio maana hamjazoea vitu vizur
Naona unampa sapoti mkumbafu mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23]
They really wish for the day that glorified fishing village will reach the level of Nairobi. They built some three blue towers and a brt that runs through uswazi and now they think they can stand in front of the most important city in this region. They'll play the catch-up game for a very long time
 
Nyie watu nyinyi mbona mnaropoka sana??!!!
We mwanamama umefika Temeke kweli ukapaona au unaropoka????
Umefika mbagala ukapaona aisee ??!!!
Wait nikuletee pic za maeneo unayoropoka kwaye
Wewe imemfika Kariobangi au ni picha tu unaokota mitandaoni?
 
Back
Top Bottom