Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania mna style gani basi...ama niile mtu ywaimba hku maneno mengine anatamka ni km yuko kijiweni...sikiza watu km akina otile wanvyotamka maneno...

Si eti mtu unaimba wimbo huku unataja maneno km hujielewi...
Hv kenya mnajua kuimba??!!!!!!
Nyie mna nyimbo gan mmeimba zika trend kumzidi Diamond ama Ali kiba??!!!!!
Nothing there is.
 
Only 6 months😆😆😆View attachment 1194719
😛 😛 😛 😛
airbus.png
 
Matusi huaga ni dalili za kushindwa...mi nadhani wewe huwajui wamarekani..unawaskiaga tu...patana na hta mmoja siku hyo ndio utajua...

Jamaa wanawadharau mpka jamaa wa kutokea europe..wanaona ni km wao wameendelea na hakuna km wao
Hivi unajua kuwa Uefa hadi America wanaitazama??!!!!!!!!!!
Na hv unajua kuwa USA iliiomba Barca ije ichezee mechi zake za Spanish cup kule kwao ili wapate ukuza mpira zaidi?!!!!!
Kama hulijui hilo pole yako.
Football rules the world.
Hao USA unaowasifia 2016 waliwaomba Copa America South America washiriki mashindano ya kombe la Copa America ili wakuze vipaji vya mpira bahati mbaya wakakutana na messi Argentina akawalamba nne wakatoka.
Yani utake usitake USA ana hamu alitawale soka ila anashindwa ndio maana anatafuta kila namna kufanya hvyo.
 
We dogo unarukia mashaza matako wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utapasuka mkundu...

Nani kasema hapa american football ni mpira wa miguu...duh!!km huelewi mada imeanzaje kaa pembeni...
Football ni mpira gan km sio wa miguu??!!!!
You might be a walking dead.
 
Naona umeumia sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....halafu nikuulize..mchezaji gani wa mpira amabae unaweza mlinganisha na michael jordan kw kila sekta...

Wamarekani huaga hawapagawi na mpira kabisa...wale kule wana ma star wao wanawakubali zaidi ya huyo MESSI na CR7..

Kule kwao hao majamaa na u star wao wote lkn wakifika watabwaga chini na star mmoja tu wa american football...

Ma star wa mpira watatamba kwngine wala sio marekani jomba
Unaposema watatamba kwingine isipokua nchi moja unaona mwenyewe ni nani maarufu duniani. Kuhusu swala la mastaa wao nchi nyingi zina mastaa wao mfano wa pili kutoka usa ni india kwa kupenda mastaa wao wa cricket au waigizaji wao. Sasa wewe unapochagua staa wa usa na kumpa umaarufu kuliko staa wa football anaekubalika na nchi nyingi unanipa mashaka, ni kama demu anaeamua kupenda timu fulani kisa men wake anaishabikia
 
Namshangaa huyu jamaa.
Eti anataka amfananishe kobe Bryant na Messi kwa mfano.
Ilhali Messi worldwide anajulikana na kukubalika huyo Bryant wanamkubali huko kwao me mwenyewe nimemjulia kobe ktk gazeti.
 
Heheee...nandy kwanza kapagawa tu..alitaka na yeye angalau atoke nairobi willy kamchanganya na kumpiga vitu...huoni hata album na yeye kaenda nairobi kui launch...lkn hvo hvo bado sana..

Heheee...mkenya akulipe kijinga jinga mfanye collabo...kwani anawazimu...
Ndo mana khaligraph kasema kila mtu afanye ya kwake..we ukitaka mfanye naye collabo mshtue tu..ila sio eti aanze kujipendekeza hku simu wengine hawazipokei kisa wewe umemzidi...jikaze kivyako vyako
 
We kaa pembeni buda...tutachoshana bure
Unaposema watatamba kwingine isipokua nchi moja unaona mwenyewe ni nani maarufu duniani. Kuhusu swala la mastaa wao nchi nyingi zina mastaa wao mfano wa pili kutoka usa ni india kwa kupenda mastaa wao wa cricket au waigizaji wao. Sasa wewe unapochagua staa wa usa na kumpa umaarufu kuliko staa wa football anaekubalika na nchi nyingi unanipa mashaka, ni kama demu anaeamua kupenda timu fulani kisa men wake anaishabikia
 
Sasa wamerekani hawalijui hilo...wao bora n mtu wao...si km kwenu bongo rooney kaja mkawasahau ma star..mpka wengine wametokwa na wazimu...

Thats why wanajiita superpower..kw sababu ya vitu vidogo vidogo tu km hvyo
Namshangaa huyu jamaa.
Eti anataka amfananishe kobe Bryant na Messi kwa mfano.
Ilhali Messi worldwide anajulikana na kukubalika huyo Bryant wanamkubali huko kwao me mwenyewe nimemjulia kobe ktk gazeti.
 
Sasa wamerekani hawalijui hilo...wao bora n mtu wao...si km kwenu bongo rooney kaja mkawasahau ma star..mpka wengine wametokwa na wazimu...

Thats why wanajiita superpower..kw sababu ya vitu vidogo vidogo tu km hvyo
Post 158077 ina jibu lako.
Au hukuisoma man??!!!
 
Back
Top Bottom