Naona umeumia sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....halafu nikuulize..mchezaji gani wa mpira amabae unaweza mlinganisha na michael jordan kw kila sekta...
Wamarekani huaga hawapagawi na mpira kabisa...wale kule wana ma star wao wanawakubali zaidi ya huyo MESSI na CR7..
Kule kwao hao majamaa na u star wao wote lkn wakifika watabwaga chini na star mmoja tu wa american football...
Ma star wa mpira watatamba kwngine wala sio marekani jomba
Halafu kumbe we kifalaaa.!!!!
Hahahahah bro unachekesha.
Hata sisi tunampenda Meddy Kagere lakini duniani hawez mshinda Messi au Ronaldo kwa umaarufu.
Huyu Michael Jordan wako pesa anazo ila kwa kupendwa na watu na kwa umaarufu uwez mfananisha na Pogba wewe.
Tena messi na Ronaldo usiwaguse.
Ulimwengu mzima unawajua hawa watu kina nani.
Usiropoke km umekunywa gongo kavu man.
Hiyo NBA inaangaliwa na wangapi??!!!!
Mpira English Premier League inatizamwa mpk vichochoroni.
Uefa champions league inatizamwa kila kona usipime.
Yani unapozungumzia mpira usifananishe mpira na vtu vya hovyo hvyo.
Pogba had chikonda Kagame anamjua.
Asa nenda kamtajie sijui Jordan wako km atakuelewa.
Sawa hao US wana super stars wao lakini ulimwenguni hawatambuliki kama Messi,Ronaldo,Pogba e.t.c.
Pogba watu ulimwenguni wanamtambua mpk wanaiga style zake za nywele ndio umfananishe na Michael Jordan ???!!!!!!
Kanywe soup ukate pombe.