Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali umenielwa sasa...manake nlikua nataka kukujuza km marekani huaga hawajui cha world wide ama nn..wao wanaona hakuna dunia ingine zaidi ya marekani
We acha ukumbafuuu.
ULIONA HAPA ALIVYOKUJA ROONEY TU WATU WOTE AKILI ZILIWARUKA.
AKIJA RONALDO HAPA KILA MTU ANAMSAHAU KAGERE.
WEE USIFANANISHE SCOOTER WITH BUGHATTI.
SAWA HUWENDA WAKAMKATAA HUYO MESSI UKO USA.
ILA TUJE WORLDWIDE KATI YA MESSI NA STAR YEYOTE WA USA NAN ANAKUBALIKA???!!!!!!
 
Buddah am trying to impress anyone hapa bali naeleza ukweli ulishaiskia flying toilets Tz??!!!!!!
Ila Nairobi km vyote watu 10k and above share one toilet.
Kifo hiki then mnajiita matajiri.
Mombasa wana mijumba flan hv,ukiingia ndani kama umeingia kwenye handaki iko kiza chake,hizo zina vyumba mpaka 20,halafu choo iko kimoja tu wakazi wote hao
 
Pogba sasa ni nani kw michael jordan...duh!!we nmeanza kushuku uwezo wako wa kufikiria....hta mada zngine ni aibu kuziongelea
We bwege hutumii akili.
Nimezungumzia ulimwenguni Jordan na Pogba nan anajulikana na kupendwa.
 
Maskini....hta unanichekesha...bongo hamna msanii mwnye anaweza pewa show ya wadhfa kenya zaidi ya diamond na harmonize kidogo...hao wengine show zao wanzifanyia ukumbini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna kitu hapo
Nooooo there is jux,maua sama,weusi,king kiba,ommy dimpoz,A.Y all are popular in Africa
 
If u shit in a pit latrine how do you have the audacity to engage Kenyans?
The fact that it's an ongoing project means that it's good news for the New York of East Africa. Kibera si ina flying toilets? you don't even get to be done here, you literally take a shit while quoting my posts and throw the shit infront of your kibanda.
 
Tanzania mna style gani basi...ama niile mtu ywaimba hku maneno mengine anatamka ni km yuko kijiweni...sikiza watu km akina otile wanvyotamka maneno...

Si eti mtu unaimba wimbo huku unataja maneno km hujielewi...
kenya kwenye music ni kama ardhi tunayoiKANYAGA. Hamna lolote na artists wanaoshow promise sanasana ni wale wanaoimba kwa kiswahili wakijaribu kuiga style ya Tanzania
 
Tanzania mna style gani basi...ama niile mtu ywaimba hku maneno mengine anatamka ni km yuko kijiweni...sikiza watu km akina otile wanvyotamka maneno...

Si eti mtu unaimba wimbo huku unataja maneno km hujielewi...
Otile brown anaimba kwa style ya bongo flavour, everyone knows that. Wala msijivunie kwa hilo kwasababu nyimbo zenu ni za wavuta bangi
 
Maskini....hta unanichekesha...bongo hamna msanii mwnye anaweza pewa show ya wadhfa kenya zaidi ya diamond na harmonize kidogo...hao wengine show zao wanzifanyia ukumbini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna kitu hapo

Sasa jiulize kuna msanii gani wa kenya hufanya show bongo zaidi ya sauti Sol??..
 
Heheee...nandy kwanza kapagawa tu..alitaka na yeye angalau atoke nairobi willy kamchanganya na kumpiga vitu...huoni hata album na yeye kaenda nairobi kui launch...lkn hvo hvo bado sana..

Heheee...mkenya akulipe kijinga jinga mfanye collabo...kwani anawazimu...
Ndo mana khaligraph kasema kila mtu afanye ya kwake..we ukitaka mfanye naye collabo mshtue tu..ila sio eti aanze kujipendekeza hku simu wengine hawazipokei kisa wewe umemzidi...jikaze kivyako vyako
Mbona wasanii wenu akina Willy paul na bahati wanahangaika sana kufanya collaboration na wasanii wa bongo,kwa nini wasiende wao west na America kufanya collaboration na akina Rick Ross??..akina Willy paul wanalialia kuimba na akina nandy na aslay[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]the world ain't fair at all
 
Matusi huaga ni dalili za kushindwa...mi nadhani wewe huwajui wamarekani..unawaskiaga tu...patana na hta mmoja siku hyo ndio utajua...

Jamaa wanawadharau mpka jamaa wa kutokea europe..wanaona ni km wao wameendelea na hakuna km wao
Acha kuwa mpumbavu dogo mbona,unapenda kujidhalilisha??? Unaijua vizuri UEFA wewe..Kwa taarifa yako hiyo America ni matako tu kwa nchi za ulaya!!
 
Matusi huaga ni dalili za kushindwa...mi nadhani wewe huwajui wamarekani..unawaskiaga tu...patana na hta mmoja siku hyo ndio utajua...
Jamaa wanawadharau mpka jamaa wa kutokea europe..wanaona ni km wao wameendelea na hakuna km wao
Am done with you...
We unanipotezea muda wangu
 
We dogo unarukia mashaza matako wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utapasuka mkundu...

Nani kasema hapa american football ni mpira wa miguu...duh!!km huelewi mada imeanzaje kaa pembeni...
Kweli Wakenya wapuuzi sana! Hio ni American football not soccer! American football ndio mchezo maarufu Marekani. Hivi nyie nani kawaloga kujitia ujuaji huku mmeishia Kibera?!
 
Hujui kitu kumbe kijana...halafu bongo flavour mbna imebaki jina tu...
Sai tangu mdundo, style vyote mmeiga...hamna kitu sai
Nyie si huwa mnaiga wajamaica[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna staili yenu acha uongo,si tunaimba bongo flavor kitambo sana hata diamond hayupo kwa game
 
Afadhali umenielwa sasa...manake nlikua nataka kukujuza km marekani huaga hawajui cha world wide ama nn..wao wanaona hakuna dunia ingine zaidi ya marekani
Korodani = pumbuu ndiyo jina lako
 
Back
Top Bottom