Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enda ulete hapa your reliable sources tuone mambo haya ,sio kutegemea ma -feelings na maoni zako.
Khaaaa yan hv vtu vya sgr tushavijadili kuwa yenu sio electrified ila yetu inajengwa elwctrified bado unataka kubishaa?!!!!
Kuhusu JWTZ na KDF nadhan unajua nan nguli wa vita kat ya hzo two armies.
 
Huu urongo mtupu Ummayed and you know it.

Dongo Kundu bypass is less than 2yrs old.
KNS Jasiri warship is less than 5yrs old.
Kenya's budget was less than $20bn 5yrs ago.
Isiolo - Moyale rd (520km) is less than 3yrs old
KQ had fewer planes 8yrs ago.
Kenya didn't export oil 1 yr ago.
Thika Super Road didn't exist 8yrs ago.
Nairobi was not Africa HQs of many global companies.
Mombasa port had less capacity 5yrs ago.
Southern Bypass is less than 5yrs old (Rais Magufuli officiated its opening)
Kenya has added 750MW in less than 5yrs.
Fewer global airlines flew into JKIA 5yrs ago.
5yrs ago KAF didn't have the sixteen Mi-28 attack Helicopters.
5yrs ago Kenya's Forex reserves were less than today's $9bn .
5yrs ago Kenya's GDP was almost half of today's $100bn +

Na uache uwongo mwingine ati 30yrs jameni hata Teleposta towers,Rahimtullah,Times towers,Prism,UAP towers na mahoteli mengi zaidi mapya hazikuwemo wakati huo. Kenya is not static ,kwani nyie Tz hamna aibu kudanganya saa zote?
Asa most of the things mmefanya sisi tunafanya with in few years.
 
Sao hill👇👇👇
206AA27D-ECCC-460B-B4C7-262DF97FD4BB.jpeg
 
Hutawaona tena hapa👇👇👇👇

Simchezo, 2wks ago nlimsindikiza mshkaji kupeleka posa Kilimanjaro maeneo ya Rombo Tarakea ndio nkagundua kenya hali ya njaa imefikia pabaya. Wakenya wanapita na mifuko wakiomba chakula huku wakipewa mahindi, viazi na ndizi, wanapita nyumba moja hadi nyingine. Waache sifa maana kwa hali ilivyo sasa inatakiwa wawe busy sana kusaidia wananchi wao wanaokufa kwa njaa. Washukuru wapo karibu na wachaga (wachapa kazi), hao waliopo karibu na somalia sipati picha wanavyoteseka
 
Duh inamaana wanapita Kilimanjaro kuomba food (chapoo)??!!!!!!!!
Dah inasikitisha sanaaa
 
Back
Top Bottom