kingereza sio kiashirio cha mafanikio ya mtu.pia sio kigezo cha kupima uwezo wa kiakili wa mtu.ni lugha tu ya kawaida kama zilivyo lugha zingine.Buda, wewe endelea tu kuongea Kiswahili. Ile chenga kiingereza kimekupuga hata Messi mwenyewe akiiona atajishika kichwa kwa mikono yote.
Sijaelewa ulichoandika naona unajiuma uma tu..Hamna vya kwenu no wonder nyie kajazana hapa Kenya news and politics thread kuona yepi halisi kutoka Kenya.Basi si mrudi nyuzi zenu? Hamna lolote ni kutroll tu kazi yenu usiku kucha mchana kutwa......Tukinyamba nyie ndo wale nyuma yetu mwanusia ......
Huyo hua anajifanya mjuaji sana ndio maana nimemwambia kifua chake bado kidoko nasubiri akue kwanza......kingereza sio kiashirio cha mafanikio ya mtu.pia sio kigezo cha kupima uwezo wa kiakili wa mtu.ni lugha tu ya kawaida kama zilivyo lugha zingine.
Ichoboy anawaumiza sana vichwa au sio naona hamuishi midomoni kumtaja...Ichoboy ni Kama kipofu aliyefungua macho akaona punda. Na Sasa kila kitu ni kusisitiza Kama punda. Aambiwe Sandton imejengwa vizuri... Yuko Za Kama pspf ya 2017
Hehhe unae nyako maber unipe nioe maana huishi kutoa povu la ichoboyIchoboy ni Kama kipofu aliyr
Dar Es Salaam
![]()
Acha uongo basiThis building is ugly
iko hivi buda,kiswahili kilianzia kilifi na lamu,sawa.I hope unaelewa Kiswahili chenyewe kimeanzia sehemu za Kilifi na Lamu. Kwa hivo nikiongea cha Kilifi nimeongea Kiswahili sanifu zaidi.
Inawezekana uko sahihiiko hivi buda,kiswahili kilianzia kilifi na lamu,sawa.
lakini kiswahili kinachopendwa na watu wengi EA na wale wa kutoka mataifa mengine nje ya EA,ni kiswahili cha tz.
wenyewe wanasema kiswahili cha tz kina madoido (swag) na kinaleta raha pale unapomsikia mtu anazungumza.
hata wadada warembo wa kisasa wa nairobi wanavutiwa sana kiswahili cha vijana wa kiume wa tz kuliko kile kiswahili cha vijana wa nairobi,mombasa,kilifi na lamu.![]()
![]()
nimeshuhudia mara kadhaa nikiwa nairobi,vijana wengi waki-struggle ku- master kiswahili cha tz.hii ni kuonyesha ni kiasi gani kiswahili cha tz kinapendwa sana ukanda huu.
kingereza pia,japo asili yake ni wazungu wa united kingdom,lakini watu wengi duniani wanavutiwa na kingereza chenye lafudhi ya kimarekani.
hata hapo kenya,vijana wanaomudu kuzungumza kingereza,wanapenda kuzungumza kama wamarekani,mfano mwanamuziki caligraph jones na prezzo.
huo ndio ukweli buda,kama utaamua kubisha,wewe bisha tu ila ni ngumu kupinga ukweli.